Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee hii ni aibu sanaa, kazi zilizopigwa marufuku nyingi ni zile kazi jua kali a.k.a kazi za walalahoi. Hii inaleta tafsiri kwamba wakenya wengi wanafanya kazi za kijuakali hapa Tanzania, na hii inajibu lile swali la kwamba kwnn wale ombaomba wasiwarudishe kama kweli ni watanzania. Ukweli ni kwamba ombaomba wale ni wakenya wenzao na ndiyo mana hawawezi ku retaliate. Wakenya mnajiaibisha sana na tunazidi kuwadharau.
 
Africa bhn, eti huu uwanja unaenda kuchezwa tournament kubwa barani Africa alafu unapakwa rangi kijuakali namna hii πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‘‰πŸ‘‰πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…