Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona mnawakuza sana Wanyarwanda? Kitu gani wamewahi kufanya mpaka mnawakuza hivyo? Kiuchumi, Kiakili, Kiulinzi, Kiusalama tunawazidi kwa mbali mno. Mambo yote ya kiusalama wanakuja kujifunza TZ.

Huyo Lugumi ndiye anayenunu silaha za majeshi yao.

Mwache Lugumi ale mtoto mbichi.
 
Hivi ninyi mnakunywaga maji ya kwenye madimbwi, mbona hamtuoneshagi miradi yenu ya maji?


View: https://www.instagram.com/p/DMcK5cOCsuj/?img_index=4&igsh=bmFjeDk5NGp0aGJo
 
Wacha kuchukulia mambo kirahisi! Lugumi ni dalali wa silaha na wateja wake ni majeshi!
 
Waliweka elimu bure baada ya Tanzania kufanya hivyo sasa wameangukia pua 😂😂😂
Walikuwa wanamuiga tembo hao. Pia tunaweza sema ni "another indicator of fake GDP".

Niliwapa challenge ndugu zetu hawa, Wakenya, watuoneshe nchi yenye GDP chini ya $250 inayofanya, tunayofanya, mpaka sasa kimya.
NairobiWalker nairobae
 
We fala nimekaa Raleigh na Charlotte na Chapel Hill was my frequent place visited usitake kujifanya unajua sana huko we utingo
No you didn’t. Prove it !… unless you were just a passing tourist 😁😁
 
Walikuwa wanamuiga tembo hao. Pia tunaweza sema ni "another indicator of fake GDP".

Niliwapa challenge ndugu zetu hawa, Wakenya, watuoneshe nchi yenye GDP chini ya $250 inayofanya, tunayofanya, mpaka sasa kimya.
NairobiWalker nairobae
Hivi unafahamu bajeti ya elimu ya kenya ni mara mbili ya Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…