Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What does that help you?
 
Hiyo plan lazma ipo haswa Mbagala BRT itakapoanza!
Kama ipo itasaidia sana watu wengi. Watu wanaotoka Zanzibar kwenda kariakoo na kivukoni, wanaokuja na SGR, wanaotoka pugu na treni la mwakyembe kwenda posta na kivukoni nk.
Ni karoute kafupi lakini Kako important sana.


Bajaji zile za mnazi mmoja, kariakoo to ferry, wazitafutie route nyingine ambayo sio city centre au Main highways, Dar ni kubwa hii. Sio lazima wakae city center

Kuhusu watu wa samaki. Itungwe Sheria ya usafirishaji. Yawepo makampuni ya usambazi wa samaki sio lazima kila mtu aende Kivukoni kununua samaki. Kile ni chakula. Kiwekew utaratibu mzr hata magari maalumu kama ilivyo mikate, na bidhaa nyingine.

Sio kusafirisha samaki kwenye mwendokasi, bajaji na bodaboda
 
Watu wa TFDA wapo huku ila hata majokofu ya kuhifadhia ubaridi ni muhimu! Imagine manispaa ya Jiji inakusanya kodi ila haiweki hizo facilities hata kutoa barafu kwa wenye ndoo hakuna!
 
Soko la samaki lihamishiwe kijichi na msasani,then msasani,kawe beach na kunduchi tayari kuna masoko ya samaki,ni kama vile kkoo ihamishiwe mbezi,mbagala na tegeta,dar now ina population zaidi ya watu milioni 6,miaka 5 ijayo ngoma inaweza kufika 10 mln,so ni vizuri serikali itengeneze kitu cha kufanya watu wapungue katikati ya mji,ni vile tu afrika maono yetu ila wenzetu watu ndio wanafuata mahitaji kwa afrika muuzaji ndio anamfuata mteja thus y machinga yeye akiona sehemu kuna watu wengi anaanzisha biashara hapo hapo,miamvuli kila sehemu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…