Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣 hili kumbe ni zumba eeeh.,? Unataka watu wa sijae.? We ni fala nini.?

We have more than 1000 brt buses.. your foolish country has none. 🤣🤣🤣 unajaribu kutuambia nini.?

Eti “you are not better than us” 🤣🤣🤣 we have 1000 times number of brt buses you have, halafu kenya is better than Tz likija suala la brt, according to you. 🤣🤣🙌🏾🙌🏾

Kuna watu wanakuheshimu.?
 
Ona babako vile anahangaika huko Dar is a slum. 🤣 🤣 🤣

 
Kaka wacha ku-exaggerate hayo mabasi yangekuwa 1000 yabiria wasingajazana hivyo! Ninadiriki kusema kati ya yale 100+ less than 50 yanatembea sasa!
 
Hata hizo mpya mtakua munazipagania hivi tu very soon. 🤣 🤣 🤣 Hizo za blue maintenance imewashinda. Munaona umuhimu wa kua na local bus assembly plants.


View: https://x.com/RoseMakei/status/1947748313278599590
We tuliza matako bhana. Usibishane nasisi kwa vitu ambavyo unaishia kuviona kwa picha budaa. 🤣🤣🤣 ever seen a brt bus in your entire life.? Even for a distance of 200 meters .?
 
Tell me where in kenya do they manufacture matatu's engines. gearboxes and differential? You are manufacturing them in Kenya 100% right?
 
Changamoto ya siku moja. Even UK matatizo ya siku moja hutokea. Nchi masikini kama kenya hazijui changamoto hizi.
Eti siku moja, unadhani sisi ni mafala. 🤣 🤣 🤣 As if is the first time we have witnessed mukipagania public transport. Watu maskini who can't afford other options si ndio wanapigania hizo mabasi zenu, so nani maskini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…