Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani unafananisha Dar na Nairobi kuhusu mwanga? Wewe ni kichaa, 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3399117
Nimekuletea picha za Kasarani area ukiwa na lights all around lakini umekwama ni hii angle kujipa matumaini. Nimekuambia tulete satellite images za usiku kati ya Dar na Nairobi tujue ni wapi Kuna giza hutaki. Continue consoling yourself watchman
 
That's Kibera slum as usual. You asked for Mukuru slum I gave you an answer but since it's not what you expected, you've resorted back to Kibera as usual
Nmekuambia kuna ma slums zaidi ya 300 Kenya, kwnn unaionea Kibera? Huipendi? Basi kaiondoe kwenye ramani, c ulisema unaweza kuondoa area kwenye ramani wewe?
 
Nmekuambia kuna ma slums zaidi ya 300 Kenya, kwnn unaionea Kibera? Huipendi? Basi kaiondoe kwenye ramani, c ulisema unaweza kuondoa area kwenye ramani wewe?
I told you there are a million slums in Nairobi, not 300. Why do you forget so fast watchman?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…