Ni targeted sanctions ambayo haiathiri nguvu ya kijeshiHuo sio usaidizi wa kivita.
Ndio maana nimekwambia kasome makala za wataalamu wa vita ujue usaidizi wa kivita unatoka wapi.
Ni sawa useme USA imemuwekea army embargo Iran ndio useme ni sawa na USA imemsaidia Israel dhidi ya Iran.
Usaidizi wa kivita unatokana na financial aid,millitary equipments aid,millitary personell aid na intelligence aid.
Kama hivi havipo HUWEZI kusema mtu kasaidiwa katika vita.
USA ili act for her own geopolitical interests.
You're bragging about a church? Something that adds no value to the economy?Mwamposa church is better than this makeshift tent!
Kuongea kwa matanga ndio kitu inawatia kiwewe? Nikiwaambia mko delusional mnakasirika. Ndio maana mnasherejekea Rais wenu akienda Comoros.🚮🚮mbona Mkustani hakuongea?
MAkunya yakishasoma Kiingereza cha ugoko na FAKE accents, ndio elimu hiyo YAMEMALIZA.Kunyans bana huwa wanajifurahisha sana toka lini Tukashabihiana na UK, USA.
Let we help you history ya Miaka ya 1970s, Tanzania ilisapoti waziwazi Palestine liberation organisation na ni nchi ya Kwanza Afrika to formal cut ties with Israel kuisuport Palestine na ya kwanza kuipa ubalozi sub saharan Africa 1973
View attachment 3396150
So UK, na USA kama kawaida ndio walikua supporter wakuu wa Israel unadhani wataenda kuisuport nchi ambayo ipo against na agenda zao.
Kuanzia capitalism, imperialism na their influence to global south.
Kumbuka miaka hiyo ya 1970s ndio Tanzania kupitia UN ambassador Dr Ahmed A. Salim ilipambania China kua na seat moja UN badala ya Taiwan kupelekea Taiwan isitambulike UN itambulike kama PRC, and kupitia hiyo china iliizawadia Tanzania highest national honor kupitia Mchango wa DR. AHMED A. SALIM
View attachment 3396159
China honours Tanzanian Salim Ahmed Salim with top national award
Beijing. China yesterday conferred on former Prime Minister Salim Ahmed Salim one of the country’s highest state honours. Dr Salim’s daughter, Ms Maryam Salim, received the Friendship Medal on...www.thecitizen.co.tz
I think mnaona sasa Taiwan ilivyo na USA.
Bila kusahau miaka hiyo ilikua imehodhi vikundi vya ANC (South Africa) ZANU-PF (Zimbwabwe), MPLA (Angola), FRELIMO (Msumbiji), katika kupigania uhuru ulio kua against na Interest za British.
Chukueni elimu acheni udwanzi
Ushahama mada tayari.Mtanzania ni mtanzania tu. Let me ask you a very simple question. When you are engaged in war and at the same time you are limited in terms of buying new military equipment to replace your replenished equipment, will you be able to offer the same level of resistance as someone free and able to buy new ones at will?
Success gani ilhali Alshabaab wanaingia hadi mipakani na kuua raia na kuondoka!?Port au Prince hatukuenda vita, tulipeleka polisi.
Somalia was a success. Before tuende Alshabaab walikuwa wanalipua mabomu Kenya kila mwezi, siku hizi mara ya mwisho uliskia alshabaab wamelipua Kenya ni lini?
Hilo jamaa ni jinga.Ushahama mada tayari.
Kuwekewa zuizi la silaha haimaanishi kuwa USA alimsaidia Tanzania.
Sijui elimu yenu ikoje aisee!!
Iran iliwekewa zuizi la silaha vita ya Iran-Iraq war na EU members je ni sawa na kusema EU members wamemsaidia Iraq dhidi ya Iran!??
Kuna shida kwenye elimu yenu .
Hata aki delete,message sent🤣🤣Mbona amedelete sasa? Jiulize hilo swali.
So huu ndio msaada? Waliosaidia Tanzania are you guys stupid?The United States didn't play a role directly in this war, but it played a role through its policies; namely imposing an arms embargo on Uganda and boycotting Uganda's coffee which impacted Uganda economically. All these impacted on Uganda militarily. In fact, Nyerere later later appreciated the goodwill shown by the US
Acha ujinga toa Sources wapi tulisaidiwa na USA na UK cause nimekupa matukio ya 1970s which proves hatukua goods side nao kabisa.Yani mnajichocha jinsi mlisupport Palestine halafu kwa vita vyenu na Amin Palestine ikasupport Amin na hamuoni aibu? 🤣 🤣
Ndio maana tunawaambianga ni nyinyi mnapenda kujipendekeza kwa watu hawamtaki hamsikii. Same way mko humu mnajichocha jinsi mlikomboa Africa Kusini wakati saahii Africa Kusini wanawaona tu kama drug dealers. 🤣🤣🤣
Na unazidi kujiridhisha upumbavu wako seems una kijiba cha Roho ukiona Tanzania imeacha alama nyingi?Yani mnajichocha jinsi mlisupport Palestine halafu kwa vita vyenu na Amin Palestine ikasupport Amin na hamuoni aibu? 🤣 🤣
Ndio maana tunawaambianga ni nyinyi mnapenda kujipendekeza kwa watu hawamtaki hamsikii. Same way mko humu mnajichocha jinsi mlikomboa Africa Kusini wakati saahii Africa Kusini wanawaona tu kama drug dealers. 🤣🤣🤣
Sasa unatuletea video ya Jakaya, Mtanzania akiongea? Wewe akili yako huwa sii timamu.
Wewe uko nje ya mada kabisa. Soma uzi uelewe kinachoendelea kisha urudiNi targeted sanctions ambayo haiathiri nguvu ya kijeshi
Targeted Sanctions:
The U.S. has imposed visa bans and sanctions on specific Ugandan officials, including a deputy military chief for extrajudicial killings and police officials for torture. These sanctions also target individuals involved in corruption, such as the Speaker of Parliament and her husbands
Just the same way you received aid from Mozambique, Angola, Ethiopia, Botswana and Zambia. In fact, Mozambique provided your weak army with troops and diplomatic support. Ethiopia, on the other hand, supplied your country with missiles and troops.Amin got super arms from Libya and Palestine.
They even gave him some soldiers.
Kunya ni kunya kweli kweliJust the same way you received aid from Mozambique, Angola, Ethiopia, Botswana and Zambia. In fact, Mozambique provided your weak army with troops and diplomatic support. Ethiopia, on the other hand, supplied your country with missiles and troops.
But that was not even he issue here. The issue was that both US and UK offered your country support directly and indirectly in your war against Iddi Amin. I already highlighted the role the US played in helping you in this war
sijachangia main thread (Dar vs Nairobi), nimejibu nilichokikuta on the wayWewe uko nje ya mada kabisa. Soma uzi uelewe kinachoendelea kisha urudi
Hizi habari we umezipata wapi mzee wa govi.,? 🤣🤣🤣🤣 history ya kusoma google sasahivi baada kuona mjadala JF,.?Just the same way you received aid from Mozambique, Angola, Ethiopia, Botswana and Zambia. In fact, Mozambique provided your weak army with troops and diplomatic support. Ethiopia, on the other hand, supplied your country with missiles and troops.
But that was not even the issue here. The issue was that both US and UK offered your country support directly and indirectly in your war against Iddi Amin. I already highlighted the role the US played in helping you in this war
Wewe ni mjinga tu usiyetaka kukubaliana na ukweli.Kunya ni kunya kweli kweli