Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahhahaha jamaa kazidiwa anaanza kutupangia project sasa we we hutaki nairobi iwe 696 au we we unatakaje ahhahhaaha
 
Wamerudi baada ya kuskia electric train imeanza hahahhahaahahhaha hawa watu bana shida tu hawataki dar iwe 2017 wanataka iwe 90s sasa wanaforce hahahhahahhaa
 
Ngosha magufuli naona anawaumiza kichwa hahahahh jamaa kila project anataka ziende kwa haraka hataki kuona upuuuzi hahahahaahah
 
hapo nmesema feelings peleka labour room....heheeee
Ukizidiwa unakaa kimya tu bado dar ndio the fastest growing city on planet haahahhahahah hata ufanye na bado dar ni kubwa Mara tatu ya nairobi hata uimbe kijaluo
 
Na hio kitu imeanza sasa hahhaha new salender bridge 7 km bridge juu ya maji hahahhhaah ngosha anawaumiza
 
Ukizidiwa unakaa kimya tu bado dar ndio the fastest growing city on planet haahahhahahah hata ufanye na bado dar ni kubwa Mara tatu ya nairobi hata uimbe kijaluo
leta picha nifurahie mimi acha maneno mengi
 
Na sasa ameingia kwenye barabara mukae mkao wa kula hahahhahha dar of 2017
 
Dar ni kimya kimya ndio maana tumejenga dar 10 years kimya kimya Leo naona munachachawa hhhahahahhahaha
 
Hahahaha utaelewa tu unajifanya kichwa ngumu hehehheheh Edward alituletea eti farmajo kaja Kenya hahaha sasa farmajo nani nilicheka sana
ebu tuletee zile photo zako za tpa na pspf mkuu....πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…