TANESCO wanataka kuuza 1,000MW Zambia.Inaonekana mahitaji ya umeme Tanzania ni makubwa sana kuliko Kenya, maana kwa sasa umeme unaozalisha ni zaid ya 4000 huku bado tukihitaji na umeme kutoka ethiopia
Anapiga kelele na kamradi kakijinga cha 100 mg watu huku tumesimamisha mradi wa stigler gorge wa mega watt 2000!?A year ago😅😅
While completed the ptoject, 2 years ago.
View: https://youtu.be/pDEw6iOau1Y?si=4F2NDXJq6bK08TLt
Hicho anachopigia kelele siyo MW za imeme. Ni ki-substation cha kupokelea umeme mpakani.Anapiga kelele na kamradi kakijinga cha 100 mg watu huku tumesimamisha mradi wa stigler gorge wa mega watt 2000!?
Jamaa ni kiazi kweli.
Kwani kina ulazima kwetu sisi TZ kwa kiasi hicho!?Hicho anachopigia kelele siyo MW za imeme. Ni ki-substation cha kupokelea umeme mpakani.
Na p[ia tuna upgrade vingine zaidi ya 5.TZ tunajenga viwanja viwili kwa pamoja
- Arusha
- Dodoma
Bado tuna viwanja CAF standards kama Mkapa Stadium
Ila tuko kawaida tu.
Kenya hiyo Kasarani imepigiwa kelele, hatulali na uwanja haujaisha.
Mpaka unaambiwa Ruto ni Kumi bila brake kwasababu ya huo uwanja mmoja.
Sisi tuna cha kwetu, mpakani na Kenya.Kwani kina ulazima kwetu sisi TZ kwa kiasi hicho!?
Anhaa hapo nimekupata.Sisi tuna cha kwetu, mpakani na Kenya.
Na wao wanacho upande wao.
Inasaidia mkitakankuuzia na umeme. Inakuwa rahisi.
Unaona kama hapo, wao wanapkea umeme 300MW kutoka Ethiopia..
100MW zinakuja TZ kwaajili ya mikoa ya Kaskazini.
Maana TANESCO wanasema kusafiro
isha umeme wetu mpaka mikoa ya Kaskazini ni gharama kubwa.
Sijajua, labda hawaoni shida kununua kwasasa.Anhaa hapo nimekupata.
Kwanini TANESCO isiunde vyanzo vya uzalishaji umeme kwa kuhudumia kanda ya kaskazini?
Wanaweza hata wakaunda ukanda wa Tanga na wakasafirisha kaskazini.Sijajua, labda hawaoni shida kununua kwasasa.
Maana ninachojua hata Bwawa la Nyumba ya Mungu liko Same ingawa lilipata ukame, likawa kwenye marekebisho.
Kuna mradi wa umeme wa jua Shinyanga, 150MW.Wanaweza hata wakaunda ukanda wa Tanga na wakasafirisha kaskazini.
Labda watafikiria ama huwenda watafikiria baadae.Kuna mradi wa umeme wa jua Shinyanga, 150MW.
Kuna miradi ya Geothermal Sonvwe.
Kaskazini naona hakuna mradi.
Ingawa kuna potential ya Geothermal pia
Hii kamwe haiwezi kutokea huko kwa akina nyang'au Teargass miaka hii ya hivi karibuni😂😁