Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who told u large doesn't matter we akili yako sio nzima kweli dar 1590 km sq ufananishe na 696 km sq uko timamu wewe, kusanya nairobi Mombasa na kisumu bado munaishia 1196 km sq alaf unataka kushindana na dar hahahahha usitake kuforce hesabu haina ujanja na haitobadilika Abadan
 
jamaa vituko....the difference btwn Kenya na tz....Kenya wakiwa wanamalizia kitu ndio tz hua wanaanza alafu jamaa wanakuja payuka tunasonga zaidi ya Kenya....kuna mtu amegundua hili?
Hahaha na tz ina better than Kenya...sijui umegundua hili???? Hahaa
 
Ati Tz wanaonesha picha...seriously.??
another difference btwn Kenya na tz....Kenya wakionesha the actual thing tz wanaonesha picha.motochini na rende yako yakina geza hamchoki kwani kufukuza upepo?
Tz
 
Dawa gani unaweza nipa hahhahaha hutaki kukubali hesabu unataka ufananishe 1590 km sq na 696 km sq alaf unataka kunipa dawa hahahhahhaahah niliwaambie ajiyokeze mkenya hapa tuanze kupost jengo moja baada ya moja wote mumekimbia hahahah nilitaka kuonesha kua nairobi no ndogo sana tena sana kwa dar
 
Hahh hata ukatae vp hesabu ya nairobi ni 696 km sq hahahahhahha na dar itabaki 1590 km sq bado biggest urban city in east africa
 
exactly....i usually say ukitaka kutengeneza mbongo."chukua mtu yeyote,open the skull,remove the brain,insert shit,,unlish to the public and you have a tanzanian"hahaaaa....wakuje wapayuke apa but mafeelings wapeleke labour room
Acha matus fala wewe kama umezidiwa unakaa kimya dar inakuumiza kichwa hhahhhahha utakonda bure hii ndio bongo ya 2017
 
Ati Dar ni clean than Nairobi!!! shindwe
pics zenyewe zinaonesha kuko rusty.
BRT is a cheap infrastructure. . .less than Ksh.50Billion.
Hahhaha wazimu wewe kichwa yako sio salama ukiwa huna huna tu kelele zote zimekuja baada tz kuanza ujenz wa treni ya umeme hahahah ndo imeleta fujo hahahahah
 
msee anasema ati nai hakuna bridge na beach so dar iko mbele....seriously?? mtu akiargue ivi ata unamuonea huruma
Kwan ipo nairobi mkizidiwa mnazuga hapa hatoki mtu hii ndio 2017 bongoooooo
 
Na mimi napajua Dar ni mijengo tatu tu mirefu kwingine kote kulikuwa kijiji sasa imefanana Kabul.
Kama kunna majengo matatu tuanze kupost mm na we we jengo moja baada ya moja tuanze alaf tuone yako matatu au hahahahh nilikwambia nairobi imejengeka hapo Kenyatta conference hahhaaha hutaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…