Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Juzi Pedri akiwa anatalii Tanzania mkunya akacoment "sasa anaongea lugha gani na Tanzania hawajui kizungu" mbongo akamuambia Pedri anaongea Spanish hajui Kingereza.
Mkunya alikosa comeback hajarudi tena. 😂😂😂
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Wakenya dunia ilishawaacha miaka ya 1963. Bado wanaishi kwenye utumwa wa Malkia Elizabeth. Wakati duniani kote watu wapo huru.
 
Sijui kwa nini mnafurahi hii miradi?
Kwan ardhi imeisha? Kwa nini mjibanebane kwenye hizo bedsitters? Na mna nchi kubwa.

It could be better wangewagawia ardhi wananchi halafu waitumie wenyew kujiongeza.
Sema tu umeumia bongolala. You wish you had them South ndio maana huwa mnapost Samia housing here kila kuchao saying it's the best. Tunawaelewa vilaza nyie
 
Sema tu umeumia bongolala. You wish you had them South ndio maana huwa mnapost Samia housing here kila kuchao saying it's the best. Tunawaelewa vilaza nyie
Hawa huwa hivo, tukifanya kitu wanasema ni ujinga, wakianza kufanya kile kile hatupumziki humu. Si walikuwa wanasema gated community ni mabwenio? Tangu Mbelgiji awawekee Fumba Town pale Zanzibar si wanaitumia siku hizi kuonyesha Zanzibar ilivyoendelea?🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…