President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,305
Unaposema pesa za kitalii wanalipana huko huko unamaanisha nini?Utalii wa TZ, unategemea zaidi makampuni ya kitalii yenye mahoteli yao hapa ndio yalete wageni wao.
Ndio maana hata pesa za haya makampuni ya kitalii haziletwi nchini.
Wanakitana na kundi la watalii huko huko, wanalipana kila kitu, na hapa zinakuja oesa kidogo za uendeshaji na mishahara ya watu wao.
TANAPA wamejaa mitumbo tu hata kulipia Youtube ads hawawezi.
Kazi yao ni kupiga marufuku CAMERA kila kona, kwa watu amabo wangetusaidia kutangaza utalii bure.
We jamaa kichwa chako kina matatizo makubwa sana. Tanzania inapeleka watu wake kwenda kupata mafunzo nchi mbalimbali. Including USA, Israel, Russia, India, China, Pakistan, UK, German, France etc. Tanzania haifungamani na upande wowote.Today the two companies are jointly known as the RECCE UNIT ( Israeli and American trained ) . You canβt be a RECCE unless you pass special training in Israel or the US.. considered one of the best counterterrorism squads in Africa ( if not the best)
View attachment 3376288View attachment 3376289View attachment 3376291
LA wanaandamana wanaomba California ijiondoe kwenye muungano. Hayo ni mambo ya kawaida. Huo ndio uhuru wa kutoa maoni, ingekuwa kenya hao wangeuawa kama kawaida yenu.
You don't understand those Zanzibaris.
Wakenya wanajitahidi sana kuishambulia Tanzania kwenye social media. Hawana kaziYou don't understand those Zanzibaris.
Nimejaribu kucheck hiyo video, ni ya muda mrefu.
Na huyo anayeongea hapo, si ndio huyuππ
View: https://youtu.be/_ZnhG1wDn8Q?si=2SHlpEouUQJOVwZA
Hawafahamu kwamba wanachodai Zanzibar ndicho hicho hicho Mombasa wanakidai!Wakenya wanajitahidi sana kuishambulia Tanzania kwenye social media. Hawana kazi
Guess what, Russia the biggest country in the world by land size, wanaishii kwa maghorofa. Who are you to advise us?Sijui kwa nini mnafurahi hii miradi?
Kwan ardhi imeisha? Kwa nini mjibanebane kwenye hizo bedsitters? Na mna nchi kubwa.
It could be better wangewagawia ardhi wananchi halafu waitumie wenyew kujiongeza.
Prove itGuess what, Russia the biggest country in the world by land size, wanaishii kwa maghorofa. Who are you to advise us?
Niliwakuta wengine X wanalia lia kwanini Tanzania hawazungumzi kijerumani wakati walitawaliwa na Wajerumani. πππWakenya wanajitahidi sana kuishambulia Tanzania kwenye social media. Hawana kazi
This guys, waingereza waliondoka na akili zao, wamekaa kitumwa tumwa tu. I am telling usifanye deal yoyoye na mkenya, au muongee siri yoyote na mkenya. Akiona Mzungu tu ujue unasalitiwa. π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Walishauza utu wao kwa wazunguNiliwakuta wengine X wanalia lia kwanini Tanzania hawazungumzi kijerumani wakati walitawaliwa na Wajerumani. πππ
Niliwahi kusema pia mkoloni aliondoka na akili za wakunya, hawa kondoo ukoloni uliwaingia kweli kweli. πππThis guys, waingereza waliondoka na akili zao, wamekaa kitumwa tumwa tu. I am telling usifanye deal yoyoye na mkenya, au muongee siri yoyote na mkenya. Akiona Mzungu tu ujue unadalitiwa. π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Walishauza utu wao kwa wazungu
Just imagine mtu anajisifia anajua kuongea Kingereza vizuri kuliko watanzania. π€£ π€£ π€£ π€£ Waingereza wenye hawajisifii kuongea kingereza mbele ya mataifa mengineNiliwahi kusema pia mkoloni aliondoka na akili za wakunya, hawa kondoo ukoloni uliwaingia kweli kweli. πππ