Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Exports of services lazima services ziwe rendered kwenye country husika in this context lazima hizo services ziwe zimefanyika kenya ndio unaweza ku compute economic output
 
Labour export na exports usitumie interchably remittances haziwezi kuwa exports maana hiyo labour service haikuwa rendered in Kenya na haiwezi kuingizwa kwenye economic output of a country maana huduma haijafanyika nchini.
 
Is labor not a service? Wewe ni baboon rudi tu msituni?

By the way what’s service according to you?
Yes labour is a service ila hiyo labour imefanyika kwenye economy gani? How do you measure economic output na labour ambayo haijafanyika nchini? Saa ingine muwe mnakubali kujifunza kidogo
 
Sasa mbona unafunga vidonda hospitali na kufanya kazi ya lab assistant?
Nyinyi wote hakuna kitu mnawezaniambia when it comes to business cause I’m pretty sure I scored higher than all of you. Getting A is not an easy task. Guess what, from all the subjects that I got A, I got passion in microorganisms and that’s why I studied Microbiology and Biotechnology.

Wewe umeachana shule class two Alafu unataka kupingana na Mimi, in your village kuna hata mwenye amefika form 2 kweli?
 
Yes labour is a service ila hiyo labour imefanyika kwenye economy gani? How do you measure economic output na labour ambayo haijafanyika nchini? Saa ingine muwe mnakubali kujifunza kidogo
You are just stupid like your fellow Tanzanians.
 
You are just stupid like your Tanzanians.
Acha matusi jibu hoja if you really got straight As.
Kwanza define what is exports. Nakupa a layman definition for your convenience. Selling of goods and services from one country to another is termed as exports. Sasa what services did you sell from within Kenya to make remittances an export item?
Ukijibu hilo kwanza ndio tutaendelea na module 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…