Online shop 🤣🤣🤣 Xiaomi does not have an official store in Dar is a slum. Huko utapata authorized dealers, ukitaka official store ni hadi mfike Nairobi au muende Joburg.Hao Xiaomi/Redmi wenyewe wana maduka na store karibu kila nchi lakini sielewi mbona hizi kondoo huwa zinapenda kubrag vitu vidogo vidogo zenye Impact ndogo kwenye jamii namna hii!
Huwezi ona hata siku moja waki brag vitu vyenye manufaa kwenye jamii, wao ni upuuzi tu.
Redmi Tanzania | Simu za Redmi & Accessories – Dar es Salaam
Nunua simu za Redmi Tanzania bei nafuu. Original 100%, delivery haraka Dar es Salaam. Stock mpya kila wakati. Malipo salama. Agiza leo!redmishoptz.com
Zipo official store za Xiaomi,Oppo na Vivo pale Kariakoo.Online shop 🤣🤣🤣 Xiaomi does not have an official store in Dar is a slum. Huko utapata authorized dealers, ukitaka official store ni hadi mfike Nairobi au muende Joburg.
Xiaomi hawana official store in Bongoslum. Hizo vijiduka vya Kariakoo are not official stores, hao ni authorized dealers tu. Ukitaka kuona duka ya Xiaomi njoo Nairobi. 😄Zipo official store za Xiaomi,Oppo na Vivo pale Kariakoo.
Acha ubishi.
Endelea na ubishi kijana.Xiaomi hawana official store in Bongoslum. Hizo vijiduka vya Kariakoo are not official stores, hao ni authorized dealers tu. Ukitaka kuona duka ya Xiaomi njoo Nairobi. 😄
🤣🤣 Umekosa comeback.Endelea na ubishi kijana.
Huyo ni kondoo, asikupotezee muda.Zipo official store za Xiaomi,Oppo na Vivo pale Kariakoo.
Acha ubishi.
Unadhani kila muda nipo kubishana!?🤣🤣 Umekosa comeback.
Umekosa duka vile umekosa comeback.Unadhani kila muda nipo kubishana!?
Hivi Uganda wamepataje?
BRT imewashinda, airline ndio wataweza?🤣🤣
Govi boy. Ukimalizana na njaa ndio ujeBRT imewashinda, airline ndio wataweza?🤣🤣
Nani amekudanganya Kenya hakuna authorized dealers? Wako wengi tena sana. Kenya kuna official stores ju kuna middle class kubwa. Nairobi is the regional hub for business kama hujui jua leo.Tofauti ya Tanzania na Kenya is.
Tanzanians after seeing no official store ya kampuni Fulani, they take it as a gap na hufungua store wenyew na kuanza kuuza at a wholesale or rejareja. Hufata bidhaa wenyew na kutengeneza connections na big stores duniani hasa Dubai, China, turkey na India. Ingia Instagram, you will see a lot of store selling only Xiaomi or Nikon cameras owned by Tanzanians.
So ni ngumu kukosa kitu Dar, just know that.
Na hapo ndo Tanzanians wanawapiga gap kwenye entrepreneurship.
Even yesterday My favorite Metrozone shop inayosell cameras kama DJI osmo pocket 3 ilikuwa imeishiwa combo type but within 24 hours wameimport kutoka Dubai kutumia air Tanzania, sidhani Kuna mtu anafikiria NAIROBI kama backup. Kwanza vitu vyenu viko overpriced sana ni bora tu uagize moja kutoka china.
Kundudwellers bhana!! Kila mtu anajua kwa sasa Kenya ni kijiji cha TanzaniaNani amekudanganya Kenya hakuna authorized dealers? Wako wengi tena sana. Kenya kuna official stores ju kuna middle class kubwa. Nairobi is the regional hub for business kama hujui jua leo.
Ila wafanya biashara wenu wanakuja kununua vitu bongo. 🤣🤣🤣 mbona kama unatuelezea vitu zenye huna taarifa nazo.?Nani amekudanganya Kenya hakuna authorized dealers? Wako wengi tena sana. Kenya kuna official stores ju kuna middle class kubwa. Nairobi is the regional hub for business kama hujui jua leo.
Wananunua vitu haziko Nairobi ama?Ila wafanya biashara wenu wanakuja kununua vitu bongo. 🤣🤣🤣 mbona kama unatuelezea vitu zenye huna taarifa nazo.?
Walikimbia Dubai within 24 hours. 🤣🤣🤣 Mali iliendewa Nairobi akaambiwa ni Dubai.Hivi Unadhani sisi tunanunua wapi hizi vitu? Ndio maana huwa nakwambia hujui Kenya kama unavyodhani. Wewe unaongelea Osmo 3 kuisha, hapa Nairobi there's no single day hiyo kitu itaisha. Osmo pocket 3 yangu combo nimenunua kwa kijana mdogo sana hapa Nairobi mwenye miaka 23. Anataka pia kuniuzia Drone but hiyo process ya kupata kibali inanikasirisha. Hili hapa duka nililonunua. Just a small shop run by a 23 year old who imports these cameras from china.
View attachment 3356421
Ndio wewe utueleze, kwasababu umetuambia Nairobi ni regional hub. Kama ni hivyo then why do they have to come in Tz ili wapate retail prices.?Wananunua vitu haziko Nairobi ama?
Yes Nairobi ni regional hub, ndio Kwa maana ina maduka mingi ambazo huwezi pata anywhere else in East Africa.Ndio wewe utueleze, kwasababu umetuambia Nairobi ni regional hub. Kama ni hivyo then why do they have to come in Tz ili wapate retail prices.?