You have to go back 5 years ago to find that one time it was stopped intentionally 😅😅
Picha umeomba tena hizi.?🤣🤣🤣Usiforce tufanane wee mbilikimo.
View attachment 3349993View attachment 3349994View attachment 3349995
Sawa Pygmy baboon.Unataja basic roads kweli.? 🤣🤣🤣🤣 kenya mnatuzidi labda express way tu, kwasababu it’s eleveted, the rest ni takataka tu kwa barabara za Dasilinga. So chill. Let alone kimara-Kibaha road, all the main roads in Dar are far much better than any road you’ve in Naipori. We Kaa kwa kutulia.
Hii je.? Hii inakaa tabora bhana. 🤣🤣👇🏾CBD ya Dar iko funny..uko CBD mara unakutana na manguo zimefuliwa na kuanikwa kwa balcon.. kwani Dar hakuna residential areas?
View attachment 3349996
Hiyo CBD yao Kuna watu wanaishi. Mostly Wahindi.🤣🤣CBD ya Dar iko funny..uko CBD mara unakutana na manguo zimefuliwa na kuanikwa kwa balcon.. kwani Dar hakuna residential areas?
View attachment 3349996
Ndivyo alivyokwambia aliekupa picha.? 🤣🤣🤣Hiyo CBD yao Kuna watu wanaishi. Mostly Wahindi.🤣🤣
Enda ulie na huko. 🤣🤣🤣
Hii ni CBD ama residential area? Yani miji ya Tanzania huna perfect CBDs Kama za Kenya?😂😂
The city is tired for real😂Usiforce tufanane wee mbilikimo.
View attachment 3349993View attachment 3349994View attachment 3349995
Kibera unayojuliwaza nayo hapa ni 2.5 SQ km. Tell me, how small is Tandale?Hata ujitetee vipi ukweli unaujua😁
Huna ❌ una ✅ 🤣🤣🤣 enda ujifunze kuongea bhana. I can also see a perfect cbd 👇🏾Hii ni CBD ama residential area? Yani Tanzania hakuna mji huna perfect CBDs Kama za Kenya?😂😂
Yea Kubwa sana 2.6km longKumbe zile affordable housing ni ghorofa 5 tu? Don't ever trust Kenyans.
Hio kibera ni kubwa sana aisee.
CBD ya Dar ni Kama Eastleigh Iko na buildings mzee. Chini ni wauza Dera na kahawa, juu ni nyumba za kuishi, Barabara ni tuktuk na mikokoteni.Hii ni CBD ama residential area? Yani Tanzania hakuna mji huna perfect CBDs Kama za Kenya?😂😂
Ndio alivyokuhadithia aliekupa picha.? 🤣🤣CBD ya Dar ni Kama Eastleigh Iko na buildings mzee. Chini ni wauza Dera na kahawa, juu ni nyumba za kuishi, Barabara ni tuktuk na mikokoteni.
Ng’ombe ni ng’ombe tu. No wonder you are a primary school dropout.Huna ❌ una ✅ 🤣🤣🤣 enda ujifunze kuongea bhana. I can also see a perfect cbd 👇🏾View attachment 3350020