Underline the word “if” in that sentence. Kingereza kimekupita mbali sana😂😂🤣.
Mlifunga uanzishaji wa Bank mpya zaidi ya miaka 10 iliyopita, ulitaka zije vipi?Bank gani ya Tanzania iko Kenya?
Then hutakiwi kumsema mwenzio kwa kununua used ambulance kwa ajili ya Jimbo lake. Huo ni msaada katoa kwa ajili ya wapiga kura wake hazihusiani na wajibu wa mbunge.🤣🤣🤣🤣🤣Mbunge anunue ambulance kwanini? Kwani unadhani Kenya ni bongoslum. Health is a devolved function you dimwit.
HAha tukiwambiaaga mmesoma kwa kukariri hakuna mnachojua.Underline the word “if” in that sentence. Kingereza kimekupita mbali sana😂😂🤣.
That “if” signifies pride, meaning the apology is not genuine. Yani we are so proud to an extent that we don’t see that tumewakosea.
So in Tanzania hamna established banks? Ama ndio mnapanga kuanzisha banks mpya?Mlifunga uanzishaji wa Bank mpya zaidi ya miaka 10 iliyopita, ulitaka zije vipi?
View attachment 3348540
Ng’ombe ni ng’ombe tu.HAha tukiwambiaaga mmesoma kwa kukariri hakuna mnachojua.
"If " I a maana nyingi sana kama zifuatazo hapo chini.
Statement ya prezda wenu inayonesha hajui mlipokosea ila kama tunaona tumekosewa vyovyoye anaomba msamaha.
KAomba msamaha in advance kabla ya kuanza kuchimba kosa,
In the English language, "if" serves multiple purposes, primarily as a conjunction used to introduce conditional statements and to express uncertainty or a wish. It can also be used in indirect questions.
Here's a breakdown of how "if" is used in text:
1. Conditional Sentences:
"If" is used to introduce a condition on which something else depends.
It can express hypothetical, possible, or even impossible situations.
Examples:
"If it rains, we'll stay inside." (A possible condition)
"If I had won the lottery, I would have travelled the world." (An impossible condition)
"If possible, please send me the details." (A polite request)
2. Indirect Questions:
"If" can be used in indirect questions, especially when the answer is yes or no.
Examples:
"I asked if she was coming to the party."
"I wondered if you were busy."
3. Politeness and Wording:
"If" can be used in a polite way when making a request or offering a suggestion.
Examples:
"If you don't mind, could you help me?"
"If you like, we could go for a walk."
4. Other uses:
"If" can be used to express a wish or desire, especially one that cannot be fulfilled, using "if only".
"If" can also mean "even though" or "although", particularly in situations where the condition is surprising or unusual.
Examples:
"If only I could travel back in time!"
"An interesting, if controversial, argument."
That only shows how broken your system is. Eti ametoa hela zake kununua mikebe kama Ambulance. 🤣 🤣 🤣 No wonder he is a primary school dropout.Then hutakiwi kumsema mwenzio kwa kununua used ambulance kwa ajili ya Jimbo lake. Huo ni msaada katoa kwa ajili ya wapiga kura wake hazihusiani na wajibu wa mbunge.🤣🤣🤣🤣🤣
Hata zingekuwa za mwaka 1200 katoa kwa hela yake
Tanzania haijawahi fungia uqnzishwaji wa benki mpya na hapo ndo benki zenu zilipata fursa ya kuja Tanzania wakati za Tanzania zisingeweza kuja Kenya.So in Tanzania hamna established banks? Ama ndio mnapanga kuanzisha banks mpya?
🤣🤣🤣🤣🤣 Kwahiyo uwezo wa king msukuma kama individual unalingana na county nzima ya kiambu🤣🤣🤣🤣🤣That only shows how broken your system is. Eti ametoa hela zake kununua mikebe kama Ambulance. 🤣 🤣 🤣 No wonder he is a primary school dropout.
Nobody will use those Zimbabwean banks here in Kenya.Tanzania haijawahi fungia uqnzishwaji wa benki mpya na hapo ndo benki zenu zilipata fursa ya kuja Tanzania wakati za Tanzania zisingeweza kuja Kenya.
Subiria tuone?Nobody will use those Zimbabwean banks here in Kenya.
Tunazo nyingi tu.So in Tanzania hamna established banks? Ama ndio mnapanga kuanzisha banks mpya?
Mbona wasije Kenya basi?Tunazo nyingi tu.
Biggest by assests kwasasa ni:
- CRDB
- NMB
- NBC
- TCB
Umeuliza kwanini wabunge wetu hawananunui ambulance, nikakuambia hio ni kazi ya county government. Enyewe wewe ni primary school dropout kama huyo mbunge wenu.🤣🤣🤣🤣🤣 Kwahiyo uwezo wa king msukuma kama individual unalingana na county nzima ya kiambu🤣🤣🤣🤣🤣
Umesoma maelezo yangu hapo juu.Mbona wasije Kenya basi?
Ndio nakuliza Kwani Tanzania hakuna established bank which can come to Kenya as not new banks. We see Nigerian banks coming to Kenya every year, why not Tanzanian banks?Umesoma maelezo yangu hapo juu.
Kenya iliacha kutoa licence ya banks mpya miaka 10 iliyopita.
Elimu yako Ina mashaka sana.Umeuliza kwanini wabunge wetu hawananunui ambulance, nikakuambia hio ni kazi ya county government. Enyewe wewe ni primary school dropout.
Ni kama wanavyozuiga baadhi ya mashirika ya ndege pale wanapoona kutatokea ushindani ili kutengeneza monopoly .Umesoma maelezo yangu hapo juu.
Kenya iliacha kutoa licence ya banks mpya miaka 10 iliyopita.