Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dandora stadium sindio hii .? 🤣🤣🤣👇🏾nyayo stadium si ndio hii.? 👇🏾ulinzinzi stadium 🤣🤣🤣👇🏾
Kasarani is better than Makwapa, Siaya Stadium is better than Amani. Hiyo bado sijaguza Ulinzi Stadium, Dandora Stadium, Nyayo Stadium etc.
🤣🤣🤣 hizi ni takataka. Tafuta buyu ukune… hivi unajijua kama wewe ni mtambo.?
 
waende wakaweke Euro Bond tena 🤣🤣🤣
 
Uganda watazungushwa mpaka akili ikae sawa!
 
Uganda watazungushwa mpaka akili ikae sawa!
Uganda akizubaa atajikuta anaingia kwa mkopo usiolipika, kwake angekubali sgr ishuke mpaka isaka maana ingeweza cover maneno mengi ya Uganda na hata usafirishaji wa mazao yao ungekuwa rahisi.
Kilichotakiwa ni Tanga ingeunganishwa na sgr makutano yakawa either morogoro ambapo pia ingeenda kuunganisha na tazara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…