Natamani tu wamwonee huruma, especially yule dada wa Uganda.. sema wasijeleta pua zao huku Tena.Huwenda watamuonea huruma kaka๐๐๐๐.
Mtoto akinyea kiganja hukikati bali wakikosha.
Nakumbuka. ๐๐๐Natamani tu wamwonee huruma, especially yule dada wa Uganda.. sema wasijeleta pua zao huku Tena.
By the way wakunya huwa wepesi sana kusahau,
Kuna media Moja kubwa zaidi huko Kenya (Citizen) walijichanganya kwa chuma JPM na walilazimishwa kuomba msamaha kwa JPM wiki nzima non stop, yaani wanaomba msamaha Kila siku mfulilizo kwa siku Saba na walifanya hivyo.
Naona wameambiwa waweke video private ama waifute. ๐๐๐Afodebo hauzing pale mukuru kwa njenga ๐๐๐
Bomu la machozi!!! Ushapata yako ๐๐๐คฃ
View: https://youtu.be/LoflAgPXRbw?si=wdpejGq90ilHNot0
Ngoja tuwafinye
View: https://x.com/DalmasMaroa/status/1925072219027181669?t=kSU8K2RkGmS6_rqRxrcZRA&s=19 wakenya wanaojielewa wanampa makavu hanifa
Maumivu sivyo? ๐Chumba kimoja
Kwahiyo CCM sio watanzania ni waarabu au sio? Unaposema tangia mababu, je how many tribes are there in Kenya, and why only Kikuyu and Kalenjin have rights to rule you since Uhuru?Ni wakenya sio CCM., same mindset tangia mababu.,
Lissu hana tishio lolote.Wewe hujui yaliyonyuma ya Lissu. Acha vyombo vya usalama vifanye kazi.
And you must be a Christian too, very shit hole ๐ณ๏ธ country.I may as say CCM ni ya Watanzania sio Wakenya,
However I see the difference that anyone from any tribe in Tanzania can become the President through same CCM, the case isn't same in your tribal based republic right , you have to be Kalenjini, either Gikuyu. Nothing less.
Hayo ni mawazo yako. Baki hivyo hivyo. unawazidi watu wote wa security Tanzania uelewa. Yaani mpaka watu kwenye bunge la ulaya wanapiga kelele ili kuweka shinikizo, bado huelewi.Lissu hana tishio lolote.
Ni vita za madaraka tu na hofu isiyokuwepo.
Hawawez kukuelewa hapa unadili na bendera fuata upepoLissu hana tishio lolote.
Ni vita za madaraka tu na hofu isiyokuwepo.