Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

9 things no one ever tells you about climbing Mt. Kilimanjaro

na kwa taarifa yako mount kilimanjaro inaingizia tanzania pesa nyingi sana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwahiyo wakija hapo wanatoa pesa wanaangalia kwa mbaali kisha wanageuza kurudi kwao?wanapowauliza kuhusu kuufikia na kuupanda mnawajibuje???haupandiki au umezungushiwa miiba??
It doesn't matter. Endeleeni kufanya hiyo cheap tourism
NB:waambieni hao wazungu wakija huku wajiandae mifuko iwe imetuna maana huwa tunanyofoa hadi maini hatutaki ujinga!
Na bado unaingizia Kenya pesa...shamba la bibi.
 
Mambo mengi unajifanya hujui?single visa,free movement ,ardhi na matakataka mengine!

Kojoe kalale kijana.... That was not meant for Danganyikans..... Acheni kujipendekeza. We don't want you, we hate you with a passion, We wouldn't want to be associated with you. Sikiza yangie akilini
 
Kojoe kalale kijana.... That was not meant for Danganyikans..... Acheni kujipendekeza. We don't want you, we hate you with a passion, We wouldn't want to be associated with you. Sikiza yangie akilini
Mbona povu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lala na wewe basi usije ukachelewa kesho cbd ukakosa free WiFi
Pale Java
 
We earn a lot from it despite being in your LDC and there is nothing you will ever do about it. Accept and Move on.
Hehehe, sio mbaya sababu this mountain was infacts suppose to be yours,
But you what? We own it,
We are making lots of cash out there man,
Wakati nyie mnakula ugali kwa picha ya samaki huku tunapiga pesa za Wazungu.
 
Na bado unaingizia Kenya pesa...shamba la bibi.
unaingizia pesa vp wakati safari hii kenya imepokea watalii 700k wakat tanzania imepokea watalii zaidi ya 2million😀😀😀😀😀😀

sector ya utalii kenya imeshakufa hakuna sector kenya inazaa faida hakuna
 
Tukiwa wakali kuhusu hili majirani zetu mtakufa na njaa.

Nyie tapelini wazungu wanaoingia kichwakichwa,chukueni hela zao,ila kupanda juu inabidi waje kwa wenye mlima.
mtalii gani anaetaka kuuona bila kupanda, kila mtalii hamu yake ni kuusogelea mlima na kuupanda
 
Kojoe kalale kijana.... That was not meant for Danganyikans..... Acheni kujipendekeza. We don't want you, we hate you with a passion, We wouldn't want to be associated with you. Sikiza yangie akilini
Lazma mtuchukie ... Afu ci wenyewe hatuwafagilii hata chembe dats y hatutaki mje huku kihasara hasara ...maana hatupend majitu maizi kwetu
 
Kojoe kalale kijana.... That was not meant for Danganyikans..... Acheni kujipendekeza. We don't want you, we hate you with a passion, We wouldn't want to be associated with you. Sikiza yangie akilini
Wakenya mshobokewe na watz kwa kipi!!!!!

Uhuru karuhusu free pass.umeona mtz yeyote akishangilia hilo????
 
Wakenya bado mnakomaa tu. Leo nataka niwatwange mpaka mpotee humu.
 
Tukiwa wakali kuhusu hili majirani zetu mtakufa na njaa.

Nyie tapelini wazungu wanaoingia kichwakichwa,chukueni hela zao,ila kupanda juu inabidi waje kwa wenye mlima.
unaingizia pesa vp wakati safari hii kenya imepokea watalii 700k wakat tanzania imepokea watalii zaidi ya 2million😀😀😀😀😀😀

sector ya utalii kenya imeshakufa hakuna sector kenya inazaa faida hakuna
Hahahahaaa povu la mwakaa

Mlima ni wa LDC lakini Middle Income inatengeza pesa. Ni shamba la bibi literally Labda muweke pazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…