Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muulize mbona wanaharakati wengi wa #Stop bomba la mafuta Uganda to Tanga Tanzania wengi wanatoka kunyaland.
Name them, weka evidence propagandist.., it's in the public domain tuone ni akina nani., who can stop global banks from financing such a project ., ujinga mzigo
 
Unyonge na uwoga, Kisha language barrier ndio tatizo kwenu, ni Kenya pekee mnaweza zungumza nao Kiswahili, hapa ni wazi sana.., la sivyo nyie wagomvi sana wachokozi na wingi wa wivu na porojo.,
Sisi tulitegemea kwamba pamoja na woga wetu basi tungekuwa tunakufa njaa kuliko hata nyinyi. Tusingekuwa tunaweza kuexport kuliko nyinyi lakini mbona hatufi njaa na exports Inazid kukua?
Language barrier? Professionalism haiangalii lugha bali ujuzi , china, Japan ,Germany zote hawaongei English ila hamuwafikii hata kwa theluthi.
 
The fact that alipigwa clearly shows kuna taarifa hufai kuchapisha huko bongoslum or else utajipata Kwa shida.
Kuna taarifa hufai kuchapisha na muandishi kachapisha hiyo taarifa, hivi unajielewa kweli wewe. 😂😂😂
Huoni point yako imekosa nguvu maana kadri unavyo jitetea ndio unazidi kuharibu.
Jiggers ni aibu karne hii pambaneni muondoe.
 
Weka picha usiogope, tunakuelewa na tunakupenda ulivyo, usiwe na hofu., Sina chuki na wewe ., Dodoma vipi?
Wewe ni kama wadogo zangu nyumbani, huwezi nishinda kwa Facts kama huu uzi hitaji lake lingekua ni kujieleza.. you are nothing my fool bro. 🤣🤣🤣 stop telling us that you are better. Naakati watu wanaona kabisa ulivyo mwepesi. 🤣🤣🤣

Ukizidiwa unakimbilia kusema watu hawana masomo 🤣🤣🤣.
 
Wanyonge, huwezi taja Tanzania na maisha yenu duni kwa sentensi moja na akina Germany, Japan, China etc, la hasha., nyie ni wa kipekee kwa upungufu na ujinga., boss jiangalie
 
Weka facts, picha ndio zako., mbona mnyonge leo??.., Dodoma vipi?.., na SGR ya umeme?.,
 
Kuna taarifa hufai kuchapisha na muandishi kachapisha hiyo taarifa, hivi unajielewa kweli wewe. 😂😂😂
Huoni point yako imekosa nguvu maana kadri unavyo jitetea ndio unazidi kuharibu.
Jiggers ni aibu karne hii pambaneni muondoe.
Alichapisha baada ya kupokea kichapo because he had nothing to lose. This is just one case, Kuna wengi wanaogopa kuchapisha ju wanaogopa kupigwa ama kudhulumiwa.
 
Wanyonge, huwezi taja Tanzania na maisha yenu duni kwa sentensi moja akina Germany, Japan, China etc, la hasha., nyie ni wa kipekee kwa upungufu na ujinga., boss jiangalie
Huna hoja Mzee , umesema language barrier sawa kwenu msomi ni yule anayejua kiingereza . Haya inakuwaje hizo nchi tajwa zimeendelea ila hazijui kiingereza ? Haya inakuwaje ukafanya exports au inakuwaje nyinyi Leo hiii mnakuja kununua bidhaa ambazo zinatoka njee wakati mngeweza kwenda wenyewe letsay china?
Msomi ni yule ambaye anaweza kuyatawala mazingira yake na akayageuza fursa badala ya kulaumu🤣🤣🤣.


Sasa wakenya nyinyi mnajua kulaumu tu na kutumika na usa
 
Kuna taarifa hufai kuchapisha na muandishi kachapisha hiyo taarifa, hivi unajielewa kweli wewe. 😂😂😂
Huoni point yako imekosa nguvu maana kadri unavyo jitetea ndio unazidi kuharibu.
Jiggers ni aibu karne hii pambaneni muondoe.
Kaka kwene huu uzi kuna haya mapumbavu usiyatilie maanani huyo Don YF hilo fala nairobae na hicho kibera walker. 🤣🤣👇🏾 hayo yatadanganya vyovyote ili kushinda battle usiyatilie maanani kabisa, mapungu hayo. 🤣🤣🤣
 
Na nyie ni fukara na hamjui English, boss try to apply logic and critical thinking angalau., was trying to break your fallacious mentality., unadhani nyie ni kama China in relation to development kwa vile hamjui kizungu idiocy on steroids 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…