concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
But fully owned by Tanzania people pasipokutegemea misaada ya marekaniYet another small bank. 🤣🤣 Hio hata inaweza nunuliwa na Coop bank na wasiende hasara.
View attachment 3330247
Rudi kajifunze elimu ya shares haihesabiki kwa wingi wa watu bali capital iliyowekwa we jua tu dhamani ya mtaji wa asilimia 40 % ya safaricom inamilikiwa na foreigner Vodafone inabaki 60% ambayo ndo gombania goli na serikali. Free flow shares za 25% ya total value ndo wakenya wengi mnaangukia kwa sababu hakuna mtaji. TuSasa hio hesabu nimekufanyia na the minimum of 1000 shares Kwa hio 2nd band to get the worst case scenario. Na ningepiga hesabu na the median of 5k shares je?
Naona unaendelea kuonyesha upumbavu wako yet tumepewa estimates for the share volume on the first row. Lakini wewe unaona tu idadi ya watu. Enyewe elimu yenu ina shida. 🤣🤣🤣 Consolidated Bank and PostBank are fully owned by the Kenyan Government. Hakuna cha maana unatuambia.But fully owned by Tanzania people pasipokutegemea misaada ya marekani
Rudi kajifunze elimu ya shares haihesabiki kwa wingi wa watu bali capital iliyowekwa we jua tu dhamani ya mtaji wa asilimia 40 % ya safaricom inamilikiwa na foreigner Vodafone inabaki 60% ambayo ndo gombania goli na serikali. Free flow shares za 25% ya total value ndo wakenya wengi mnaangukia kwa sababu hakuna mtaji. Tu
Umekazana na shareholding ya Safaricom yet huko kwenu your government owns nothing pale kwa Vodacom Tanzania. 🤣🤣🤣But fully owned by Tanzania people pasipokutegemea misaada ya marekani
Rudi kajifunze elimu ya shares haihesabiki kwa wingi wa watu bali capital iliyowekwa we jua tu dhamani ya mtaji wa asilimia 40 % ya safaricom inamilikiwa na foreigner Vodafone inabaki 60% ambayo ndo gombania goli na serikali. Free flow shares za 25% ya total value ndo wakenya wengi mnaangukia kwa sababu hakuna mtaji. Tu
Elimu yako ndogo sana huwez elewa , kinachozungumzwaNaona unaendelea kuonyesha upumbavu wako yet tumepewa estimates for the share volume on the first row. Lakini wewe unaona tu idadi ya watu. Enyewe elimu yenu ina shida. 🤣🤣🤣 Consolidated Bank and PostBank are fully owned by the Kenyan Government. Hakuna cha maana unatuambia.
Tcb bank, tib bank and postal bank fully owned actually Tanzania government has shares in almost 50 % of all commercial banks in tanzaniaNaona unaendelea kuonyesha upumbavu wako yet tumepewa estimates for the share volume on the first row. Lakini wewe unaona tu idadi ya watu. Enyewe elimu yenu ina shida. 🤣🤣🤣 Consolidated Bank and PostBank are fully owned by the Kenyan Government. Hakuna cha maana unatuambia.
Kuna 49% ya Airtel Tanzania haya sio lazima kuwekeza vodacomUmekazana na shareholding ya Safaricom yet huko kwenu your government owns nothing pale kwa Vodacom Tanzania. 🤣🤣🤣
Iliuzwa akaenda kununua tigo a u yas still kati ya kampuni Tano za kitanzania tatu ziko na largest shareholders ambao wako tanzaniaUnadelete reply kwanini. Sema tu hukujua hio 25% ya Vodacom is not owned by a single company. That's what is listed as an IPO for the public. Sasa 25% ya Safaricom Kenya umeipinga sana na ye kwenu je?
Tafuta market share ya mitandao ya simu kule kunya ucheke. 😂😂😂Iliuzwa akaenda kununua tigo a u yas still kati ya kampuni Tano za kitanzania tatu ziko na largest shareholders ambao wako tanzania
Tigo millicom ni Tanzania kampani
Airtel 49 ya government
Ttcl mainly government haya
49% ndio equivalent to ksh 2 billion as dividends. 🤣🤣🤣 Pesa ya madafu.Kuna 49% ya Airtel Tanzania haya sio lazima kuwekeza vodacom
Market shareTafuta market share ya mitandao ya simu kule kunya ucheke. 😂😂😂
Vodacom 75% owned by wazungu 🤣🤣🤣Market share
Safaricom 65.7 %
Airtel 21.
Telkom 8
Ukija bongo
Vodacom 32
Airtel 25
Tigo 28
Halotel 8
Vipi kuhusu Airtel Kenya inamilikiwa na kuchikuchi hotahe🤣🤣🤣 kwa 80+Vodacom 75% owned by wazungu 🤣🤣🤣
Someone just put his foot in the mouth..🤣🤣Kwa hivyo hawa ndio foreigners? 🤣🤣🤣
For the first time in history you have posted something that I can’t dispute. Congratulations!.. keep up the good work. Those are the fruits of free market economics. Cheap labor to maximize profits for shareholders. That’s why most manufacturing will never come back. No American will make toothpicks or other simple products. It would never be profitable due to minimum wage laws. But in Chinese line factories, you can pay workers cheap. Even use child labor. America is focused on technological jobs of the future. You will know when they appear in the media soon.Bwana mwaiofhawaii njoo ujifunze dunia huku. Uone vile bwana zenu hawawezi shindana na China, labda waanze upya kujenga viwonder 🤣🤣🤣. Wao wanauzia watu majina tu but the manufacturing is done in china and them costs of producing will blow up your mind. Here we go. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DIg8vN_MgDq/?igsh=MXB6bHRrNWJidjVsOQ==.
Do you have a majority stake in anything apart from Government parastatals. Hadi hii Yas sahii Parent company ni ya Madagascar. 🤣🤣🤣Vipi kuhusu Airtel Kenya inamilikiwa na kuchikuchi hotahe🤣🤣🤣 kwa 80+
Wacha hata 40% serikali, Jamii Telecom is 100% owned by a Kenyan.Malizia ttcl halafu leta ya kwenu ya Kenya ambayo serikali yenu imamiliki more than 40% ya shareholding