Hakuna shareholder kutoka norfund kinachojulika na shareholder anayetambulika ni arise bv ambayo inamilikiwa na hao uliowataja na huyo ndo foreigner kumbuka nmb almost 60% ni kutoka Tanzania wakat nyinyi majority shareholder ni foreigner'sBiggest shareholders to NMB ,๐
Norfund, FMO and Rabobank
Mbona nasikia sauti ya wagonga nyundo humo wanapanda watu kweli,๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHivi kweli Kenya, sasa hii SGR yeu ina tofauti gani na METER GAUGE.
Kelele, nganganga๐ ๐ ๐
Halafu imagine, mlijenga kwa bei kubwa mpaka mmeshindwa kulipa deni
View: https://youtube.com/shorts/qFojyNcf_Pk?si=C1CLNQxHtDqR0PRV
Wewe ambaye jana ulikuwa unamwambia instanbul abadilishe definition ya CBD ndio ashinde mjadala ndio wa kuambia watu eti wako hapa kushinda battle na sii kuelimishana? Kama kuna ng'ombe yenye iko hapa kushinda battle ni wewe.Hawako hapa kuelimisha au kuongea ukweli, wapo hapa kushinda battle, kwahiyo vyovyote itakavyokua wataeleza hata kama ni uongo wa kufa mtu.
Nginjanginja! Wako YouTube wakijaribu ku-substantiate wizi wa UHURUTO! Wengine wanadai Diesel SGR ina uwezo wa kubeba mizigo zaodi ya electrical SGR!Hivi kweli Kenya, sasa hii SGR yeu ina tofauti gani na METER GAUGE.
Kelele, nganganga๐ ๐ ๐
Halafu imagine, mlijenga kwa bei kubwa mpaka mmeshindwa kulipa deni
View: https://youtube.com/shorts/qFojyNcf_Pk?si=C1CLNQxHtDqR0PRV
Usiwaamshe waliolalaNginjanginja! Wako YouTube wakijaribu ku-substantiate wizi wa UHURUTO! Wengine wanadai Diesel SGR ina uwezo wa kubeba mizigo zaodi ya electrical SGR!
Yet sisi hatunanga shida if things are owned by foreigners because we are informed. ๐๐They focus so much on who owns Kenya they forget who owns Vumbistan. ๐คฃ ๐คฃ
Which loss?Likewise has been the first to post the biggest loss in the region ๐
Sasa hata heri Zimbabwe, NMB is owned by a state corporation from Norway after they bought it from the Dutch. Yani munazungushwa Kwa wale wazungu nyinyi hujifanya munawachukia. ๐คฃ๐คฃMmiliki toka Zimbabwe Yuko wapi?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Arise B.V. is a Dutch equity investor with a focus on Sub-Saharan Africa, particularly the financial services sector. It was established as a joint initiative between Rabobank, Norfund, and FMO to invest in Tier 1 African banks. Arise aims to support sustainable and resilient financial institutions that promote financial inclusion and rural development.
Arise B.V. has made significant investments in several African financial institutions, including Ecobank Transnational Incorporated (Ecobank) and NMB Bank Plc in Tanzania. These investments are part of Arise's broader strategy to drive economic growth and reduce poverty in the region.
Arise B.V. is also known as Arise IIP (Arise Integrated Industrial Platforms) and Arise. Arise IIP focuses on industrial development in Africa, including the establishment of industrial parks and special economic zones.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃYet sisi hatunanga shida if things are owned by foreigners because we are informed. ๐๐
Kwani safaricom inamilikiwa na nani?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐Sasa hata heri Zimbabwe, NMB is owned by a state corporation from Norway after they bought it from the Dutch. Yani munazungushwa Kwa wale wazungu nyinyi hujifanya munawachukia. ๐คฃ๐คฃ
Hatuchukii wazungu, ndio maana tunataka investors.Sasa hata heri Zimbabwe, NMB is owned by a state corporation from Norway after they bought it from the Dutch. Yani munazungushwa Kwa wale wazungu nyinyi hujifanya munawachukia. ๐คฃ๐คฃ
Baada ya kugundua all your top banks are owned by foreigners. ๐คฃ๐คฃ๐คฃHatuchukii wazungu, ndio maana tunataja investors.
We don't just sell them the country forever.
How?Baada ya kugundua all your top banks are owned by foreigners. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Vizuri sana kumbe na the largest shareholder wa benki yenu pendwa ya equity ni mzimbabwe ๐Iko hapa
Shareholders
Cooperatieve Centrale Raiffeisen-Boerenleenbank B.A. 'Rabobank Nederland'
FAQs - NMB Bank Plc.
NMB Bank Plc. (โNMBโ) is a Tanzanian commercial bank offering diverse financial services to individuals, businesses, institutions, and the government.www.nmbbank.co.tz
| Rank | Name of owner | Percentage ownership |
|---|---|---|
| 1. | Arise BV of Norway and Netherlands | 12.76 |
| 2. | Standard Chartered Nominees Non Resd A/C Ke11752 | 4.35 |
| 3 | Stanbic Nominees LTD A/C NR3530153 | 3.98 |
| 4 | James Njuguna Mwangi | 3.38 |
| 5. | Equity Bank Employees' Share Ownership Plan | 3.08 |
| 6. | Standard Chartered Kenya Nominees Ltd A/C KE004667 | 2.89 |
| 7. | Fortress Highlands Limited | 2.67 |
| 8. | Aib Nominee A/C Solidus Holdings Ltd | 2.38 |
| 9. | Standard Chartered Kenya Nominees Ltd A/C KE005073 | 2.34 |
| 10. | Standard Chartered Kenya Nominees Ltd A/C KE002596 | 1.95 |
| 11. | Other shareholders | 60.15 |
| Total | 100.00 |
Kama equity sioSasa hata heri Zimbabwe, NMB is owned by a state corporation from Norway after they bought it from the Dutch. Yani munazungushwa Kwa wale wazungu nyinyi hujifanya munawachukia. ๐คฃ๐คฃ
| Rank | Name of owner | Percentage ownership |
|---|---|---|
| 1. | Arise BV of Norway and Netherlands | 12.76 |
| 2. | Standard Chartered Nominees Non Resd A/C Ke11752 | 4.35 |
| 3 | Stanbic Nominees LTD A/C NR3530153 | 3.98 |
| 4 | James Njuguna Mwangi | 3.38 |
| 5. | Equity Bank Employees' Share Ownership Plan | 3.08 |
| 6. | Standard Chartered Kenya Nominees Ltd A/C KE004667 | 2.89 |
| 7. | Fortress Highlands Limited | 2.67 |
| 8. | Aib Nominee A/C Solidus Holdings Ltd | 2.38 |
| 9. | Standard Chartered Kenya Nominees Ltd A/C KE005073 | 2.34 |
| 10. | Standard Chartered Kenya Nominees Ltd A/C KE002596 | 1.95 |
| 11. | Other shareholders | 60.15 |
| Total | 100.00 |
Sasa ona desperation inafanya unakaa mjinga. Kati ya 60% owned by Kenyans na 12% gani kubwa?Vizuri sana kumbe na the largest shareholder wa benki yenu pendwa ya equity ni mzimbabwe ๐
Equity Group Holdings Limited stock ownership
Rank Name of owner Percentage ownership 1. Arise BV of Norway and Netherlands 12.76 2. Standard Chartered Nominees Non Resd A/C Ke11752 4.35 3 Stanbic Nominees LTD A/C NR3530153 3.98 4 James Njuguna Mwangi 3.38 5. Equity Bank Employees' Share Ownership Plan 3.08 6. Standard Chartered Kenya Nominees Ltd A/C KE004667 2.89 7. Fortress Highlands Limited 2.67 8. Aib Nominee A/C Solidus Holdings Ltd 2.38 9. Standard Chartered Kenya Nominees Ltd A/C KE005073 2.34 10. Standard Chartered Kenya Nominees Ltd A/C KE002596 1.95 11. Other shareholders 60.15 Total 100.00
Other shareholders haimanishi ni wakenya ๐๐๐๐, wewe leta prove ni wakenya ? Ila jua the largest single owner ni mzimbabwe. Hakuna shareholder mwenye hisa za zaid ya arise bv ( mzimbabwe )๐๐๐๐๐Sasa ona desperation inafanya unakaa mjinga. Kati ya 60% owned by Kenyans na 12% gani kubwa?