Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi picha zinaonyesha the progress we are making ama unadhani ni kitu mbaya. 😂😂
What progress? Zinaonyesha nyie ni mabingwa wa kunya hadharani! Kuna sababu kuu ya kuonywa uwe mwangalifu maana unaweza kukanyaga mavi njiani hata Uwe poshy areas kama Lavington, Karen ama Runda na ndio sababu kwann niliwaita Wakunya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…