Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ndio malls tatu za mikocheni. 🤣🤣🤣 Na unasema za Karen ni vibanda. Kwani unadhani malls lazima zikue kwa maghorofa ama? Mbilikimo mkora tulia hii Karen huiwezi. Hii hata sijaiweka kwa hesabu, najua ingekua mikochina ungekua ushatuhesabia ni mall.

 
Shoppong complexes of these caliber are so many in mikocheni. 🤣🤣🤣🤣🤣 hizi maduka hakuna haja kuzitafuta ni njiani tu unapatananazo.
 
Kumbe nikiondokaga kwenye uzi ndio unajidai.? 🤣🤣🤣🤣

Mwanzo ulisema morocco si mikocheni, sahii ni sehemu ndogo sana.. chagua sera moja ili nikidhihirisha upumbavu wako humu ndani watu wakudharau.. jitu zima zuzu 🤣🤣🤣kubwa pumbani.
 
Wewe kwako mall ni maghorofa.
Unatafuta nafuu.? Swali kama hili nilielekeze kwako.. hii takataka nayo ni mall.? 🤣🤣🤣👇🏾au huu upumbavu.? 👇🏾hii si ni fremu za maduka tu huko goba njia nne.? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 au ulipost tu ili udanganye kama kawaida yako na kibera walker.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…