Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nisema wapi kama hii ni mall within mikocheni.? 🤣🤣🤣 unanilisha maneno.? Nani kasema hii ni mall.? Au unatafuta nafuu.? Mana kutoka kwenye huo mtego huwezi.
Haya, tuoneshe hizo malls tatu za Mikocheni zinazoshinda zile 6 za Karen ulizopewa.
 
Oyaaaa mbilikimo ongeza hii mall Kwa hio list zifike saba. Na ujue kuna zingine mbili under construction. Zitakua 9 or more. Sasa wewe umeshtuliwa na mall tatu, ukifika Nairobi si utaona na meno.

View attachment 3328598
Mbilikimo Mkora AKA Dasilinga ajue Karen ni kubwa kuliko all the high end neighborhoods in Dar combined.
 
Naona umeumia sana, umebaki na empty words tu. 🤣🤣
Nimepata maimuvu.? 🤣🤣🤣 hebu ngoja nikutolee uvivu. Hizi nazo ni mallss au ni vibanda shopping plaza.?
The only malls kati ya ulizotaja ni watter front labda na galleria, the rest ni vibanda mbele ya zile malls za mikochi. The rest ni vibanda hivi hapa:-
1.The wall 🤣🤣🤣 👇🏾mikocheni plaza is far better than this2. Crossroads 👇🏾shoppers supermarket michoni beats this one hands down 🤣🤣3.The hub 👇🏾4.my town 👇🏾🤣🤣🤣takataka za hivi zipo kibao arround mikocheni. 🤣🤣🤣 na si malls
 
Haya, tuoneshe hizo malls tatu za Mikocheni zinazoshinda zile 6 za Karen ulizopewa.
Mikocheni sahii sio tena size yenu.. hizo unaita malls in mikocheni ni shopping complexes zipo kibao hapo mikocheni. 🤣🤣🤣. Here we go. 👇🏾mikocheni Palm village 👇🏾2.. village mall mikocheni.. U/C 👇🏾..https://youtu.be/BcVTEJHC-oc?si=2lOHy3wuLT6JbiEB.
3. Morocco square shopping mall .. haya kuna kibanda chochote kati ya vile alivyotaja mwehu mwenzako kinaweza tia pua yake .? 🤣🤣
 
Umeenda kutafuta hadi renders 🤣🤣.

Alafu hizo 'malls' zengine mbili 90% ni apartments and offices. Mall hapo ni ground floor na mezzanine floors pekee. Usidhani sisi wajinga.
 
Umeenda kutafuta hadi renders 🤣🤣.

Alafu hizo 'malls' zengine mbili 90% ni apartments and offices. Mall hapo ni ground floor na mezzanine floors pekee. Usidhani sisi wajinga.
Huna bando la kufungua video nini .? 🤣🤣🤣🤣 nicheki DM nikutumia kakitu kidogo. Unanieleza habari za rander.?

Usinilalamikie mimi, zile vibanda msiite mall kamwe, tena mkome kuanzia leo.
 
Umeenda kutafuta hadi renders 🤣🤣.

Alafu hizo 'malls' zengine mbili 90% ni apartments and offices. Mall hapo ni ground floor na mezzanine floors pekee. Usidhani sisi wajinga.
Hata hiyo Morocco Square haipo Mikocheni. Ipo mahali panaitwa regent estate. The only real mall hapo ni hiyo render upcoming. Hizo zengine ni supermarkets. Ni kama mtu apost GTC aseme ni bigger mall than the Hub kisa kuna mall kwa floors za chini.
 
Umeenda Dar siku mbili tayari ushajua morocco square sio mikocheni.? 🤣🤣🤣🤣 wewe ni katika watu wapumbavu humu ndani..
Haya tueleze morocco aquare ipo mtaa gani.? Mzee mzima mpumbavu. 🤣🤣🤣
 
Shida huna maarifa. Hiyo Galleria mall haigusi Waterfront na the Hub. These are proper malls with amenities such as Go-Karting, water parks et all. Hamna mall hapo Mikocheni inafikia hizi mbili. Hayo yenu ni supermarkets ndani ya apartments. Labda hiyo upcoming Dar Village ndio itajaribu ikikamilika ila bado haitagusa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…