Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani kakuambia posta ni business center, hizo zilikuwa ofisi tu na nyingi ilikuwa za serikali na zimehama , inshort huo ni mji wa zaman saaana.
 
Nani kakuambia posta ni business center, hizo zilikuwa ofisi tu na nyingi ilikuwa za serikali na zimehama , inshort huo ni mji wa zaman saaana.
Ni wapi nimetaja Posta? Lakini wewe vidole vyako vinakimbia kuliko akili yako, ndio kwa maana husomi reply za watu vizuri before commenting.
 
Kwanza labda tuanzie maana ya CBD , CBD inamaaanisha ni central business district , sasa nani alisema hayo maeneo ni eneno la kibiashara kwa Tanzania . Tanzania hatuna CBD bali tulikuwa na city centres tu ambayo ilikuwa ni ilala na hata ukifuatilieni ilala ambayo ndo hiyo picha mnayoclaim ni CBD sisi kwetu ilihesabiwa kama administrative area business center ziko kinondoni .
Logic ya kusema eti mnazi Moja ni CBD ni kwenu huko Kenya. Ni kama vile sisi tulivyo na provinces wakati nyinyi mna counties.
Elimikeni🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ni wapi nimetaja Posta? Lakini wewe vidole vyako vinakimbia kuliko akili yako, ndio kwa maana husomi reply za watu vizuri before commenting.
Hizo picha zenu hapo hayo maeneo yote kuanzia akipopiga picha mwenzako yako ndani ya wilaya Moja ya ilala ambayo ilikuwa administrative area kwahiyo posta na mnazi mmoja mnayoclaim ni CBD mkaiacha ikulu mpaka upanga jua yote hayo ni eneo moja🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sasa ulikua hutaki ziwepo au vipi.? 🀣🀣🀣 ni sehemu ya city center. Tuzivunje au.?
 
Tena hizo
Sasa ulikua hutaki ziwepo au vipi.? 🀣🀣🀣 ni sehemu ya city center. Tuzivunje au.?
Haha elimu yao ya kufikiri ni ndogo sana, CBD maana yake central business district kwao inabeba mpaka maofisi ya serikali, kwa Tanzania hasa dar es salaam Kila wilaya ilikuwa na majukumu yake
Ilala ilikuwa kwa ajili ya utawala
Kinondoni viwanda na kadhalika
 
Sasa ulikua hutaki ziwepo au vipi.? 🀣🀣🀣 ni sehemu ya city center. Tuzivunje au.?
Soko ya samaki ni jirani ya ikulu. 🀣🀣. Basi that's the most unplanned CBD on earth, no wonder hakuna mtu anajua boundaries ya hio CBD. Kila mtu akona demarcations zake hata Google maps haijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…