Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

123 countries didnt vote world wide... only 30 contries voted including kenya munaogopa kunyimwa msaada alaf munajiita DC😀😀😀😀😀😀

wewe unafurahia palestine kuchukuliwa mji wao kwa nguvu zamu yenu iko njiani
Sisi tumepata faida kwa kutopiga kura kwa kupata mwaliko US.

Palestine na Israel migogoro yao ilianza hata kabla Yesu azaliwe na hata yeye mwenyewe hakutatua...wewe ni nani uyatatue?
 
Sisi tumepata faida kwa kutopiga kura kwa kupata mwaliko US.

Palestine na Israel migogoro yao ilianza hata kabla Yesu azaliwe na hata yeye mwenyewe hakutatua...wewe ni nani uyatatue?
mgogoro wa ukabila kenya ulianza mlipopata uhuru 😀
nyie ni vibarua wamarkani na muliogopa kunyimwa msaada munajiita DC alaf munaogopa kinyimwa msaada
 
Mombasa Nairobi tusha....
aircraft 7 tushanunua kwa pesa cash ambayo kq ilishindwa na haitaweza tena😀😀😀😀

modern electric train in africa tushaanza ujenzi kwa phase zote mbili 722km kwa pesa za tanzania cash no debt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…