Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi unakwendaje mall ukitokea kwenye nyumba za mabati? Remember 60% of Nairobians (maybe including you😂) wanaishi kwenye nyumba za mabati🤣🤣🤣
Hivyo ndio CCM hua imewadanganya ju wengi wenu hamjawai fika Kenya. 🤣🤣 Hio 60% hata ni kidogo, ongezeni ifike 90%.
 
Hivi unakwendaje mall ukitokea kwenye nyumba za mabati? Remember 60% of Nairobians (maybe including you😂) wanaishi kwenye nyumba za mabati🤣🤣🤣
Kwani imeandikwa wapi kwamba ukiishi kwa nyumba ya mabati hufai kuenda mall? Mko na akili za kimaskini sana😂😂.

For your information this Is Southfield mall serving Pipeline and Mukuru Kwa njenga residents, all those places are slums according to Tanzanians.


 
Sisi hatupigi Kila western culture kama nyinyi na ndo maaana tuna masoko ambayo yanawanufaisha wengi kama vendors badala ya kuinvest kwa malls ambazo haziwapi watu wa chini fursa za kuuza.
To mfano wa soko wakufikia hata nusu ya masoko ya tanzania
China does not follow western culture but it's very modernized, nyinyi yenu sio culture, hio yenu ni umaskini.
 
So, mama mboga Kenya wanauza kwenye supermarkets??
Wako na soko yao just like zile mnatupigia nazo kelele, and guess what? Are you aware that Supermarkets are nowadays even selling mboga, vitungu, and all other raw farm products? Do you want me to show you an example?
 
Hivyo ndio CCM hua imewadanganya ju wengi wenu hamjawai fika Kenya. 🤣🤣 Hio 60% hata ni kidogo, ongezeni ifike 90%.
Unakuchaa wew😂 unadhani hatufahamu kwamba 60% ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye kipande Cha ardhi ambacho ni 6% tu ya ardhi yote ya Nairobi (Huu ndo umaskini Sasa!😂)na mko hapa mkijifanya mnashangaa watu kujaa kwenye daladala. Unasingizia CCM, imefikaje huko Kenya😅
 
Anataka kuja why daladala are crowded
But you're contradicting yourself. You say Nairobi is a congested city to justify why daladalas are congested.

BTW, Nairobi metropolitan area is bigger than Dar Metropolitan area. I confirmed. I was in Dar last 8 years ago and based on what you guys say here, i thought it had grown to tremendous size in those years. It has grown, yes, but still not to Nairobi's size
 
Mwambie hata mboga pia huuzwa supermarkets. Hawa wavhawi huwa hawana exposure sana.

View attachment 3323021
View attachment 3323022
Ungejua hiyo culture ya Malls inavyo haribu local economy usingefurahia?
Kwanza mnakula vitu vinakaa kwa fridge whole week. Yes economy yenu inakuwa structured and documented but owned by few individuals

I support local vibandaski.
 
Did you know 70% of Tanzania urban population live in slums. Hio 60% rudishia CCM.

 
Kwani lazima Gongo la mboto kuwe na Malls ****** wako.? Dar inaishia gongo la mboto.? 🤣🤣🤣🤣
Sa unataka kubishana na Nairobi ambayo mitaa karibia zote zina malls. Huoni you are fighting a losing battle.
 
Ungejua hiyo culture ya Malls inavyo haribu local economy usingefurahia?
Kwanza mnakula vitu vinakaa kwa fridge whole week. Yes economy yenu inakuwa structured and documented but owned by few individuals

I support local vibandaski.
How is malls destroying local economy? Hizo mboga umeziona zikiwa kwa fridge ? Ama unaongea tu sababu hamna supermarkets kama za Kenya? And who told you Kenya hakuna vibandaski?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…