Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Labda kama kuna mtaa unaitwa Dar huko migori. 🤣🤣🤣
Juu ya hii story, nafika hapo Dar kesho nikuoneshe vitu ambavyo unaona miujiza kwako kwangu ni kitu chenye naweza amua nifanye na nifanye hiyo hiyo siku. Wacha nimalizemalize tushughuli leo kesho unione. Wewe endelea na ignorance yako.
 
Mbona munaishii primitive life. 🤣 Yani middle class wa bongoslum bado anatumia choo ya shimo, tena ndani ya nyumba yake. 🤣🤣
Wewe ndio ni premitive. 🤣🤣🤣🤣 nani kakwambia choo cha kukaa ni standard of living.? 🤣🤣🤣🤣

Kubishana na watu maskini ni aibu sana.
We msenge umetokea kijiji gani kwani.? 🤣🤣🤣
 
Wewe ndio ni premitive. 🤣🤣🤣🤣 nani kakwambia choo cha kukaa ni standard of living.? 🤣🤣🤣🤣

Kubishana na watu maskini ni aibu sana.
We msenge umetokea kijiji gani kwani.? 🤣🤣🤣
It's modern living, that's why inaitwa a modern toilet. Nilikuambia middle class wa Dar is a slum anaishi tu kama maskini.
 
It's modern living, that's why inaitwa a modern toilet. Nilikua middle class wa Dar is a slum anaishi tu kama maskini.
Acha ushamba mzee mzima 🤣🤣🤣🤣 choo cha kukaa si standard of living..

Choo cha kuchutama ni flexible na safe kiafya many of our public areas we prefer them than vyoo vya kukaa. Concept ya watu maskini ndio wanawaza kama wewe 🤣🤣🤣

Ustaarabu na kundurendans ni wapi na wapi.?

Ndio mana nimekuuliza kijiji ulichotokea. 🤣🤣🤣
 
Nyumba yako binafsi pia ishakua public area. Ushamba ndio hua inawasumbua ama ni ujinga.
 
However, experts warn that what they call prolonged sitting on the toilet can harm your health. It's even been connected to an increased risk of hemorrhoids and weakened pelvic muscles, said Dr. Lai Xue, a colorectal surgeon at the University of Texas Southwestern Medical Center in Dallas.12 Nov 2024
 
Nyumba yako binafsi pia ishakua public area. Ushamba ndio hua inawasumbua ama ni ujinga.
Kumbe tunajadili vya nyumbani kwangu na husemi.? 🤣🤣🤣

Wewe ndio mshamba my brother, na siwezi kukulaumu hii inasababishwa na back ground yako, umeishi maisha ya kimaskini mno mpaka unadhani choo cha kukaa ni utajiri. 🤣🤣🤣

Nyumbani kwa mtu ni option hivyo vyoo, kwene nyumba nyingi ambazo nimetembea pamoja na nyumbani kwetu, visitors toilets huwa ni vyoo vya kuchuchumaa, kwasababu za kiafya zaidi.. choo cha kukaa ni kile cha ndani ya chumba (master bedroom). Huu ni utamaduni wa watanzania wengi. Havihusiani chochote na standard of living.

Wewe unatokea kijiji gani.? 🤣🤣🤣
 
Unajaribu justify poverty. We live in a modern world. 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…