Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndiyo main job yako 🤣 🤣 🤣 🤣 Jobless
 
Kuna siku Rhaenyra Targaryen amemchallange apost picha moja tu akiwa Nairobi akashindwa. Jamaa hata hapo Bongo nina uhakika miji mingi hajatembea. Heri Baboonboy ashaafika Moshi kwa basi akatutumia picha.🤣 🤣
We fala pictures are not my cup of tea. Mimi huwa nafikia Sarova Stanley na hapo The Boma sometimes it is just off mombasa highway. Huko mimi siwezi piga picha hata kwa simu naogopa vibaka wanapora on the daylight.
 
It is 'No one wants to lend you' Mr. Mpumba.
 
Huyo baboon siku atakanyaga hata namanga utaona vile mapicha vinapeperushwa huku😂😂
Nimetembea Kenya na nime drive sehemu nyingi tuu Naipori, Nakuru, Eldoret, Gilgil, Nyandarua county nyaruhuru kiganjo, embu, nyeri, nanyuki Meru etc sehemu ambayo sijafika ni ujaluoni huko.
 
Wewe ndio mwengine wa 'kutembea Kenya' mitandaoni. Tuonesheni hizo picha mlizopiga Kenya maanake Watanzania waliotembea na kuishi Kenya kiuhalisia wana haya ya kusema kuhusu Kenya.


View: https://www.youtube.com/watch?v=NSogIfePqWc
 
Kuna siku Rhaenyra Targaryen amemchallange apost picha moja tu akiwa Nairobi akashindwa. Jamaa hata hapo Bongo nina uhakika miji mingi hajatembea. Heri Baboonboy ashaafika Moshi kwa basi akatutumia picha.🤣 🤣
Ngoja leo Nikufurahishe kwa picha. Hapo niko Meru tena nilifikia Meru Slopes Hotel kama sikosei jina.
mwambieni Rhaenyra Targaryen ani inbox niko serious.
 
We fala pictures are not my cup of tea. Mimi huwa nafikia Sarova Stanley na hapo The Boma sometimes it is just off mombasa highway. Huko mimi siwezi piga picha hata kwa simu naogopa vibaka wanapora on the daylight.
Pickpocketer Bomas Hotel na Sarova Stanley? Utakuwa wale wa kulala vigesti vya 300/- per night maanake hizo sehemu unazoongelea pickpocketers hawapatikani.
 
So, unataka tujaze picha zetu humu😂😂
Sitaki ujaze picha. Nataka uwache hiyo rhetoric ya kuongea vitu usivyojua ni kama unavijua. Ukisema 'nimewai tembea hapo Kibera' tuoneshe kwa picha tuone ni ukweli ushaatembea Kibera. Otherwise usijifanye unaijua sana Kenya wakati knowledge yako ni ya mtandaoni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…