Kenya hawana fiscal space ya kufanya chochote bila PPP au FDI ni taabu huko.Kwa Kenya mradi huu bila PPP hawatoboi labda walease matako yao
Na vijana wetu wa African School competition wametetea taji lao la Africa baada ya kumpiga Senegal Finali.
Mechi ya kwanza inachezewa wapi?
Deni lao la taifa limezidi 50% ya GDP yao.Kwa Kenya mradi huu bila PPP hawatoboi labda walease matako yao
Kenya is the main Host of AFCON, Uganda and Tanzania are co-host. Thatβs why Opening and Final Matches will be played at Talanta Stadium.Hii AFCON iachiwe Tanzania, tumeshaandaa fainali 3 za soka kimataifa Hadi sasa.
Watu wanaoshindia chapati wafocus na issue za njaa kwanza
Si hata ya Tanzania pia si limezidi 50% of your GDP?ππDeni lao la taifa limezidi 50% ya GDP yao.
Yes,
Leta evidenceSi hata ya Tanzania pia si limezidi 50% of your GDP?ππ
Divide that by your GDP then multiply by 100 uniambie % ni ngapi.Leta evidence
So mbona ulikuwa unapinga?Yes,
From Zanzibar kwenda Mombasa is cheap kuliko kupeleka Mwanza, Lake Victoria where Songoro is headquarted.
Logistics favours Mombasa
Hapa utakuta Kenya wanajisifu wao ni TECH HUB, TECH HUBπππDeni lao la taifa limezidi 50% ya GDP yao.
Nchi nyingi zinakwepa kuwakopesha.
Kwasasa wanategemea zaidi PPP.
TANZANIA mifumo yetu ya mtandao iko chini ya eGA (Mamlaka ya serikali mtandao)
Kenya wameweka wahuni ambao wanawaita eCITIZEN wanawalipa wao kwanza kabla hawajalipia gharama zao kwa serikali.
Tanzania tuna control number za serikali, Kenya kila kitaasisi kinajiendesha kihuni.
Mwaka huu, CAG wao alikuja Tanzania kujifunza
Lakini kutokana na Kenya kuwa dili la wahuni, hawawezi kukubali kurekebisha.
View: https://x.com/thee_alfa_house/status/1897577565696467337?t=i_gYIvhVwn9HCm1qihyqJg&s=19
Do you understand metrics???
Niwekee meli 10 za Tanzania zilizokuja kufanya service Mombasa nikubali statement ya ati huwa tunafanya service Ukunyani!
Unapenda kuongea rumors sana. Google, Microsoft and other tech giants hires Kenyans with big salary.Hapa utakuta Kenya wanajisifu wao ni TECH HUB, TECH HUBπππ
Tech hub ,kwa kuwaita Meta, Google na Uber kuweka ofisi branches Kenya na wanajifungia na wafanyakazi wao na teknolojia yao.
SKenya just benefits za Majengo marefu ya kupigia picha tuππ
ππππ Hawavuki hapo, cha ajabu hata 80kph haijawahi fikaπππππ naona hapa Pia umewawekea na Receipt la TRA kabisa πππ
ζε€§ιεΊ¦οΌ100οΌ
View attachment 3318345
Kufanya hiyo hesabu imekushinda? Mbona unaongelea mambo ya 2023 in 2025? Nimekuonyesha Tanzanian debt as of Jan 2025 and you can as well use IMF GDP figures for 2025 for your calculations. Ukilemewa sema usaidiwe, sio kupiga kelele hapa.Do you metrics???
In 2023, Tanzania's government debt to GDP ratio was at 46.87%. This means that the country's total government debt was 46.87% of its Gross Domestic Product (GDP.
Maana Kenya maths ni changamoto hadi mnataka kuifanya option.
Its good for you.Unapenda kuongea rumors sana. Google, Microsoft and other tech giants hires Kenyans with big salary.
For example Google is paying junior developer 300k per month, thatβs like 6M Tanzanian money. The rate at which Google and Microsoft was hiring Kenyans and paying them well made other Kenyan tech companies jealous.
View attachment 3318421
How are GDP calculated, possibly you know nothingKufanya hiyo hesabu imekushinda? Mbona unaongelea mambo ya 2023 in 2025? Nimekuonyesha Tanzanian debt as of Jan 2025 and you can as well use IMF GDP figures for 2025 for your calculations. Ukilemewa sema usaidiwe, sio kupiga kelele hapa.