Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama huna data basi tulia, wacha wenye data kama AFDB waongee.
 
Hebu soma nilikuwa nareply nini. Acha kuropoka na kukurupuka.
Read well the context
 
 
This one Kenyan 😀😀😀
 
Ati waTz wakimya na wapuuzaji? 🤣 🤣 🤣 Labda ungesema Waganda. Hawa hawa waTz waliokaa bungeni siku nzima wakidiscuss Jaguar kisa kasema watanzania na Waganda walioko Gikomba bila vibali waondolewe? Hawa hawa wenye walikesha Bungemi wakiisema Kenya kisa ndege ya KQ imeandikwa Kilimanjaro ndio unaita wapuuzaji? Hamna watu sensitive hapa East Africa kama wabongo.

Mtalia for the rest of the year kisa Ruto amesema nyinyi ni LDC (which is true) na Magufuli akuwa akiingongelea vibaya Kenya kila kuchao. Last year tukiwa na maandamano Samia alisema kwa jirani kunawaka moto wangoje tutawalisha. Mnakuwanga too sensitive alafu mnadhani mlivyo na chuki dhidi yetu kila mtu atatuchukia kama nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…