Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii China Square advert ingekua bongoslum wangekua wameandikiwa zile vijiti za Chinese ju they are being colonized. 🤣🤣

 
So in short hatuna power insufficiency vile ulikuwa unasema?😂😂🤣🤣🤣😂.

Alafu Tanzania peak electricity demand is just 1,200MW.
 
Always huyo ni mpumbavu. 🤣🤣🤣 govi huyo na yule kibera walker. Wapo kwenye kurasa za bertin kule YouTube wanateseka.
Nimekapea nafasi ya kujibishana nami basi utakaona leo katakavyo ni quote quote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nyef nyef for over 5 years. The growth has been gradual and has never stagnated. Ongea vitu unajua.
 
kwani wenzako wakija bongo shopping wanafanyia wapi? huku CBD za kumwaga tuu na nyingine ziko mbali sana na Main CBD kama una D mbili utanielewa bibie. By the way nasubiria mwaliko wangu natamani nije huko nikuone siji na kamera lakini maana hivyo vitu not my cup of tea. Unakaa mji gani?
 
So in short hatuna power insufficiency vile ulikuwa unasema?😂😂🤣🤣🤣😂.

Alafu Tanzania peak electricity demand is just 1,200MW.
Almost every metric ya Kenya vs Bongoslum hua tumewapiga gap ya double, lakini pale kwa GDP is where they draw the line. Numbers don't lie.
 
Tuna vitu vingi vya maana vya kupost humu, umuhimu wa huu uchawa na matumizi mabovu ya kodi ni nini?
Asante kwa haya. Nimeona hata wabongo mmeanza kuchoka na huyo kichaa. Inaeleweka huu uzi ni wa battle ila kuna wengine yani kila kitu wanachopost ni upuzi no wonder ni nadra upate wamejibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…