Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


View: https://youtu.be/N29J4S4eimY?si=dbW1Ym2wF1gu3qGs bilionea hawa wanaowapiga ndani ya nchi yenu!
Umesahau vita vya wachina wanavopiga wamama wenu kule kariakoo
I Just drove past here actually, you see how controlled the place is..
 
Sasa huoni kuwa kuna u-madness kwenye hizi reports za GDP na haileti msingi wowote. Nigeria iliyokuwa na half a trillion $ GDP sasa ni 180. What does that tell you, Mr. Foolishman?
Watanzania wote mi wajinga.

Go and check the depreciation of Naira to dollar alafu urudi tuongee. Hii thread hakuna mtanzania hata moja anaelewa mambo economics.
 
Actually tungependa kufanya kazi pamoja tukue kama region tuinue region yetu pamoja ila nyie mkaona uadui kisa Kenya kuwa na uchumi bora EAC… vita ni nyie mlianza sio sisi,
Wivu ianzishwe aje na wakenya walio mbele yenu? Nyinyi kuchoma kuku 6000 kutoka kenya, ku seize cattle, ku ban kenyan imports? Huo ndo wivu
 
Sasa huoni kuwa kuna u-madness kwenye hizi reports za GDP na haileti msingi wowote. Nigeria iliyokuwa na half a trillion $ GDP sasa ni 180. What does that tell you, Mr. Foolishman?
Hebu enda ufunze IMF na worldbank kwa sababu wewe ni genius
Unajua GDP ni nini? Unafikiria inafanywa cumulative 😂
 
Hata hapa ndani, ni mara ngapi hawa vilaza wamejiidentify na SADC more than EAC? I can even quote tens of comments from these fellas appreciating their association with SADC more than EAC, all just because of Kenya. Wangejua tu vile hatuna haja nao wangenyamaza tu
 
Sasa huoni kuwa kuna u-madness kwenye hizi reports za GDP na haileti msingi wowote. Nigeria iliyokuwa na half a trillion $ GDP sasa ni 180. What does that tell you, Mr. Foolishman?
Do you know how much the naira was to the $ in 2022 vs 2025? currency devaluation, inflation, na FDI unafikiria iko na impact gani kwa economy. Sio collapse in economic activity pekee msee, fanya research
 
Ingekuwa tuna wivu si tungeanza ku retaliate hata hizo silly attacks
a whole President burning chicks and seizing cows due to jealousy 😂😂
 
Do you know how much the naira was to the $ in 2022 vs 2025? currency devaluation, inflation, na FDI unafikiria iko na impact gani kwa economy. Sio collapse in economic activity pekee msee, fanya research
Watanzania Kama wote hawajui mambo ya uchumi. They don’t know the power of currency and inflation. Hao wanadhani GDP growth is ongoing projects😂😂
 
How far from here ?.. asking for a friend..🤣😄
View attachment 3313648
Wewe ndio mana nasemaga ni zuzu. 🤣🤣🤣 kuna nini unachokijua kwenye hii Africa .? Miji yetu sisi haijajengwa na settlers, tunaboresha wenyewe. Demolishing old buildings and building the new ones. Kariakoo in 50s-60s 👇🏾 kariakoo ya sasa 👇🏾kwahiyo sisi sio size yenu wapumbavu nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…