Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Control+C
Control+P

Ujinga ulioje!!!!
 
Hivi mnajua hizi discussion zote wanezileta baada ya kuambiwa ukweli na ndugu zao huko TikTok kwamba jamaa wananunua bidhaa zote za nguo, viatu, cosmetics and accessories from Tz.? 🤣🤣🤣

Naona wameitana wakajadiliana walete story za mapikpk n.k ili ku balance mzani. But still wanaangukia pua. 🤣🤣🤣

Kuna kile kiberawalker kilikuja na mada ya vigae, kikapigwa za uso na kenyewe kamekimbia. 🤣🤣🤣🤣

Wanafaa kujua sisi hatutegemei chochote kutoka kwao.
 
I already told you that a microcontroller is just a type of a semiconductor kilaza wewe
Nikiwambiaaga wakenya ni vilaza mnaona tunawaonea

is semiconductor a type of a microcontroller?

No, a semiconductor is not a type of microcontroller. A microcontroller is a type of integrated circuit (IC) that is built using semiconductor materials. Microcontrollers are essentially small computers on a single chip that can be programmed to control specific functions.

Elaboration:
  • Semiconductor:
    A semiconductor is a material that has electrical conductivity between that of a conductor (like copper) and an insulator (like rubber). Common examples include silicon and germanium.

  • Integrated Circuit (IC):
    An IC is a tiny electronic circuit built on a semiconductor chip. It contains millions or even billions of transistors and other components.

  • Microcontroller:
    A microcontroller is a type of IC that integrates a CPU (Central Processing Unit), memory, and input/output (I/O) ports onto a single chip. It's designed to control a specific function or a small, embedded system.

  • Microprocessor:
    A microprocessor is also an IC that contains a CPU, but it is designed for general-purpose computing. It's typically used in computers and other devices that require complex processing.

Relationship:
Microcontrollers and microprocessors are both built using semiconductor materials and are types of ICs. However, a semiconductor is the basic material used to build any IC, including microcontrollers and microprocessors. It's like saying that water is a type of liquid; while true, it's not the best way to define liquid. Similarly, it's more accurate to say that microcontrollers are built from semiconductor materials, rather than being a type of semiconductor.
 
Huyo somo limemwingia kisawa sawa. Haturudia tena kuleta ujinga huo.
 
Bongolala, a microcontroller is just a TYPE of a semiconductor that integrates the CPU and output/input ports into a single package.

Raspberry Pi is just a manufacturing company that manufactures semiconductors. Nawahutumia!
Microcontroller sio type of semiconductors hata kama material zinazotumiza ni zile zinazotumika kutengeneza semiconductors kilaza Rudi shule.
Unachomaanisha ni sawa na kusema maji na pombe ni sawa kwa sababu maji hutumika kutengeneza pombe
 
Microcontroller sio type of semiconductors hata kama material zinazotumiza ni zile zinazotumika kutengeneza semiconductors kilaza Rudi shule.
Unachomaanisha ni sawa na kusema maji na pombe ni sawa kwa sababu maji hutumika kutengeneza pombe
Anatakiwa aelewe tunapoongelea Semiconductors tunaongelea Electronics Chips siyo li dude likubwa hivyo ambalo ni Microcontroller.
Sasa hivi dunia ipo kwenye nanotechnology tunaongelea masuala ya nano chips
Tuna expect mwaka huu kuwa na 2nm chips. Sasa yeye anatuletea hilo dude 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Anatakiwa apeleke kwa watoto wadogo kwa lengo la kujifunzia.
 
Haha mwenzako anajua ndo semiconductors asijue kariakoo watu wanayatengeneza Tena kimtaamtaa tu
 
Haha mwenzako anajua ndo semiconductors asijue kariakoo watu wanayatengeneza Tena kimtaamtaa tu
Aren't you the same guys who said companies that make semiconductors duniani hazizidi 15? Kumbe moja yao ipo hapo Kariakoo?🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…