concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,314
- 14,357
Hahaaaaaaa
Hahaaaaaaa
Tajaa acha kuleta utaperWacha uvivu, kwani huwezi scroll.
Company is registered in Mumbai? Kwa hivyo hujui maana ya registration ama ni ujinga ya kuzaliwa?
Mr uk ana hadi mafrijiMr UK is a consumer electronics brand, primarily known for its TVs, based in Tanzania.
Miaka hii wataumia sana hawa watu. Watakapokuja kuamka Tanzania ipo mbali sana
View attachment 3307482
Rudi tena google. 🤣 🤣 🤣Wacha uvivu, kwani huwezi scroll.
Made in India 🤣🤣🤣🤣Company is registered in Mumbai? Kwa hivyo hujui maana ya registration ama ni ujinga ya kuzaliwa?
I already did.Tajaa acha kuleta utaper
Fridge.Huyo bwana kiberawalker na mpumbavu mwenzie wao wanabishana ili kushinda mjadala. 🤣🤣🤣.
Then kaaa kimya huna proofI already did.
Two factories in Nairobi, unajua kazi ya factory?Made in India 🤣🤣🤣🤣
Sina muda wa kubishana na wewe. Vitron ni kampuni ya wahindi na kiwanda chao kipo India.Two factories in Nairobi, unajua kazi ya factory?
View attachment 3307490
Semiconductors microchipsExample of industrial products tunazotegemea Kenya?
Is a Kenyan supplier with factories in Nairobi but registered in Mumbai kwa maelezo hayo hiyo kampuni ni ya kihindi ni kama iphone tu ni kampuni ya kimarekani ila inazalishwa chinaTwo factories in Nairobi, unajua kazi ya factory?
View attachment 3307490
Name themSemiconductors microchips
Duniani Companies zinazotengeneza Semiconductors hazifiki hata 15.Semiconductors microchips
Kwahiyo nasisi tukikuambia kuwa Levi's jeans zinazalishwa mbagala ni product ya tanzania utabishaSemiconductors microchips
Sina muda wa kubishana na wewe. Vitron ni kampuni ya wahindi na kiwanda chao kipo India.
Nataka ataje tumuoneDuniani Companies zinazotengeneza Semiconductors hazifiki hata 15.
Registration?