Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,212
- 35,594
Hapo wivu uliwakaba kuiona dar kwenye hiyo listsikia hii mbwa ππππ
View: https://x.com/gabrieloguda/status/1912491642646409407?s=46
View: https://x.com/njiwaflow/status/1912534504331235735?s=46
View: https://x.com/baringo_icon337/status/1912494500779278597?s=46
View: https://x.com/kanyenya_/status/1912523653050229012?s=46
View: https://x.com/ayieko__/status/1912496278350541223?s=46
Kwa hivyo tukubali rumours. π
Alitop TVs are primarily assembled in Tanzania, catering to the local market. This local assembly allows for affordable pricing and easier access to after-sales services.Kwa hivyo tukubali rumours. π
Just at the right moment. Someone needs help..π€£π€£
Jux katuwakilisha vyema,juzi kati nilikutana na wapopo sehemu,katika kuulizana tunapotokea,nilipowaambia natokea TZ,wakaanza kuniita juxiiii πJamaa amejipatia umaarufu mkubwa huko West Africa πΉπΏπΉπΏπ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Wanaona ni big issue kumbe kitu kidogo tu. πππAlitop TVs are primarily assembled in Tanzania, catering to the local market. This local assembly allows for affordable pricing and easier access to after-sales services.
Hata tueleze nchi gani nyingine utapata Alitop Tv?
Muongezee
Huyo bwana kiberawalker na mpumbavu mwenzie wao wanabishana ili kushinda mjadala. π€£π€£π€£.
Alitop na mr uk ni made in TZ
Hii umeniwahi, nilikua nimeomba nitumiwe picha ili niweke kama reference. π€£π€£π€£. Hicho kibera walker na mwenzake nairobae ni vipumbavu hivi vijamaa.Alitop na mr uk ni made in TZ
Example of industrial products tunazotegemea Kenya?They rely on Kenya for so many manufactured goods, lakini hapa ni mdomo tu yet trucks zao hua zimejaa industrial area.
Mr UK is a consumer electronics brand, primarily known for its TVs, based in Tanzania.Alitop na mr uk ni made in TZ
Your source is tomato source.Alitop TVs are primarily assembled in Tanzania, catering to the local market. This local assembly allows for affordable pricing and easier access to after-sales services.
Hata tueleze nchi gani nyingine utapata Alitop Tv?
Eti hi ni picha ya nchi nyingine?ππππππHuyo govinda kwasabu Tz kuna BRT basi katafuta picha ya nchi nyingine anakuambia ni Tz na kwasabu wanachuki wanaipost kwenye mitandao wakisema ni Tz lkn ukimuuliza ni Tanzania ya wapi hiyo atakujibu huoni BRT, as BRT ipo Tz pekee.
Rudi upitie list, nilishaandika.Example of industrial products tunazotegemea Kenya?
Sijaona leta hapa tuiione, ambazo mnaziuzia tanzaniaRudi upitie list, nilishaandika.
Mzee huwezi kudanganya watu humu π€£ π€£ π€£ π€£ π π πYour source is tomato source.
Tuonyeshe kitu kama hii. Manufacturing or production of TV's.
View attachment 3307473
View attachment 3307477
Wacha uvivu, kwani huwezi scroll.Sijaona leta hapa tuiione, ambazo mnaziuziq tanzania
Hahaaaaaaa