Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna club ya Tanganyika hapo kwenye list yako?

Najua hii ndio kitu kinakuuma roho. Ugua pole
 
I posted my car for Ichoboy ( request)โ€ฆ ( merc S550)ask him ..I own 3 personal vehicles plus business fleetโ€ฆ nomore personal queriesโ€ฆ go heehaw someone else..Am not here to entertain you .
Sijawahi kuiona gari unayoiendesha. Au unataka kuweka kama kawaida yako kwenda ku pause kwenye vitu vya watu? ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Alienda kutembeza bakuli just build an indoor arena?
 
Mombasa si ipo?

Meanwhile, Likoni Safina Ferry ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
View attachment 3306265

Good to know we're comparing Dar to it's rightful economic size, Mombasa.
Mwanza should be left to it's peers like Sagana and Modogashe.

I knew you'd come around. ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜…
 
Mradi una zaidi ya miaka 15 huu!
Soma hapa kaka:
The President went to South Korea and secured a soft loan of $2.5bn -> Pesa zipo
 
Mkopo nafuu mzee. Mwenye pesa huongezewa. Nyie kajamba nani hakuna hata idea ya Film Village. Lini mtakuwa na mawazo ya Tanzania? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mawazo ya Tanzania? Mawazo gani wakati nyinyi ndio sasa mnafikiria kujenga indoor arena? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Are you listening to yourself?
 

Most followed TV stations on Instagram (Dar es salaam vs Nairobi)​


1. Dar es salaam -> Wasafi TV(8.2M followers) โœ…

2. Nairobi -> Citizen TV Kenya (2.1M followers) โ›” ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Just like his music, 75% of Diamond's followers are in Kenya.
Tanzanians don't even have the disposable income to pay more than $2 minimum wage in his concerts. I hear many get in free.

Don't worry, even Mexican and Canadian artists rely on the US for fame. It comes with being the bigger economy ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

If you doubt it, let Wasafi and other Diamond properties show you their analytics.

From this article, in 2022, Diamond got 136 million views from Kenya, more than 50 million more views than from bongolala data-saving peasants.
I remember reading something similar some time back about Zuchu.

 
Mawazo ya Tanzania? Mawazo gani wakati nyinyi ndio sasa mnafikiria kujenga indoor arena? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Are you listening to yourself?
Usiongee Indoor Arena pekee, ongezea na Film Village nyie lini mtawaza makubwa haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ