The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kama Stockholm mwanangu π π π π πΉπΏ πΉπΏ π₯ π₯ π₯
Wameumia kusikia Mkapa ina capacity ya 62k, ukweli ni kwamba Mkapa ina hiyo capacity toka kitambo, wakitaka walie au wacheke.
Dunia haitambui hicho unachosema na wala hakuna sehemu inayosema hizo sehemu ulizotaja ni slums, unplanned areas are quite different from slum areas hata ulie. Ni rahisi sn Ku change unplanned settlement kuwa planed but it's very difficult to change slums to be decent areas because slums mean absolute poverty whilst unplanned settlement means relative poverty.Kwani Dar Kuna sehemu haina uswazi?
Tandale, Gongolamboto, Mabibo, Vingunguti, Manzese, Chang'ombe, Keko, Temete, Jangwani, Kigogo, Mburahati, Tandika, Mwananyamala, Magomeni, Buguruni, Yombo n.k haya yote si ni slums tu.
Kwanza continental trophy ndiyo trophy gn? Waseme ni champions league au confederation, wasifosi mambo. Timu iliyochukua kombe la kueleweka hapa East and Central Africa ni Tp Mazembe peke yake, sisi wengine ndiyo tunakuja na inaonekana kabisa timu zetu muda si mrefu tutachukua kama si champions league basi confederation cup piga ua coz tunaenda kwenye misingi ya football.Which trophy?
Wazee wa kukomaa na vitu havipo.
Lete hiyo trophy na leo ipo wapi.
Akitoka hapo anaenda kutafuta beberu apunguze machungu ππ
Uwa wanafanya vitu kiushindani,walichoshindwa sgr ya umeme,brt na nyerere dam,kila wakijitutumua wapii π!Wameumia kusikia Mkapa ina capacity ya 62k, ukweli ni kwamba Mkapa ina hiyo capacity toka kitambo, wakitaka walie au wacheke.
jambo la mdhamini mpya mbet hali ngumuπππ alaf ajab ni kampuni ya huyo huyo muhindi mo tapeli tapeli
Ngoja tumalize utata.Taabu kila sehemu, We chuchunge hilo Govi lako limefunika hilo neno MSAADA or?
Mbona hii ni mara ya Pili unaleta humu na hukomi na wapumbavu wenzako kwa kuwa wana kijiba cha roho ni ukondoo.
Continental trophy si uitaje ni ipi hiyo au kama ilifutwa c useme kwamba ilifutwa?The fact remains it's the ONLY regional club with a continental trophy. You can't and won't change that fact
Yani page ina following nyingi mara mbili ya followers π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£wacha nicheke tu ππππ 691 followers
View attachment 3305440
Hapo sasa ndio kujitoa ufahamu sivyo?Continental trophy si uitaje ni ipi hiyo au kama ilifutwa c useme kwamba ilifutwa?
Kwanza mbomoe nyumba za udongo walau japo robo mtoke kwenye record ya mji wenye nyumba nyingi za udongo duniani.Mombasa imebakisha tu three blue towers ipite Dar
Siutaje au hyo trophy inaitwa continental?Hapo sasa ndio kujitoa ufahamu sivyo?
alaf ndio source yaowanayoitegemea πYani page ina following nyingi mara mbili ya followers π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Wacha povu! ! leo Simba SC tunapokea basi la maana!jambo la mdhamini mpya mbet hali ngumuπππ alaf ajab ni kampuni ya huyo huyo muhindi mo tapeli tapeli
Nmecheka sana utu unatutoa wapi πππ
We ni mshamba tena washamba wa miaka ya 90 uko kupiga picha na izo noti ndio utuokoteMeanwhile , 5 minutes agoβ¦ready for the bank ..( you want the deposit slip to see the total?)
View attachment 3305734