Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


“Mnaongelea bando”

View: https://x.com/honeyfarsafi/status/1910338254907334670?s=46
 
Yani hawaoni free WiFi ni progress. Nchi Ina free WiFi kwa parks alafu nyinyi bado mnstruggle na 'bando' alafu mnaona mmewashinda kisa Dayamondi Ako na subscribers millioni tisa YouTube.🤣
Tanzania is a free country in Business hakuna Monopoly. Check bango linajieleza 👇👇👇👇

 
Ukipitia comments zao Ndio utaona hawa wapumbavu humu ni mafala kupitiliza. 🤣🤣🤣 wanakwambia wao kwao kila nyumba iko na Wi-Fi 🤣🤣👇🏾 View attachment 3303902
Hawa wa humu ni kondoo. 😂😂😂
Mimi nina Router zile kubwa za 5G airtel (unlimited internet) kwa ajili ya nyumbani na kile kidogo cha kutembea nacho na nilishafanya application ya Ttcl Fibre.
 
Hawa wa humu ni kondoo. 😂😂😂
Mimi nina Router zile kubwa za 5G airtel kwa ajili ya nyumbani na kile kidogo cha kutembea nacho na nilishafanya application ya Ttcl Fibre.
Kaka kila kona Dar Fiber ipo. Siyo TTCL pekee yao. Upo wapi nikuunganishe upate fiber home chap?

Mimi nilishavuta wasiliana nao hawa:-

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…