So in short umekubali you don’t have fans wanajituma kama wa Kenya?Wajaluo wa Mombasa hawa
No Country in East Africa will match Kenya when it comes to Stadiums.
And I’m seriously getting those engagements and you being one of them.Anasaka engagement
Hawa ukiwapa sikio kidogo wanakujaza uchafu. 🤣🤣🤣 halafu hawakosoanagi hawa jamaa zetu. Wao wana like tu, mixer kusapotiana upumbavu.Imagine mtu kaandika , ni Ndege inayomilikiwa na vijana wadogo Kenya, Maana yake Vijana wa huko wana fly 😂 , Maneno ya Mwenyekiti ichoboy01 Myazingatie kwanza. MK hapa Kaongea maneno makubwa kuliko hata wale wakulungwa wa mtaa flani kule marekani ambao wote nje wamepark hivi vidude. Mkundustan ukiangalia tu mwandika imekula kwako 😂
Kuna mtu anataka kuona mitaro hapo za drainage ndio ajue kuwa kuna drainage 😂😂😂😂I ♥️ NBO.
Don't you love Nairobi too?View attachment 3301770
Talanta is talked about all over the world and everybody knows it’s where Finals of AFCON will be placed.
View: https://x.com/Worldstadium_es/status/1911017855794978936
Mi naona tofauti ya quality za buses wanazopanda hata mashabiki zile za Gor mahia (magovi) ni Tuzo buses!
Huyu jamaa angekuwa na ndege asingechangisha wakenya Ksh 1 mln awe bailed out!Imagine mtu kaandika , ni Ndege inayomilikiwa na vijana wadogo Kenya, Maana yake Vijana wa huko wana fly 😂 , Maneno ya Mwenyekiti ichoboy01 Myazingatie kwanza. MK hapa Kaongea maneno makubwa kuliko hata wale wakulungwa wa mtaa flani kule marekani ambao wote nje wamepark hivi vidude. Mkundustan ukiangalia tu mwandika imekula kwako 😂
Mvua ndiyo huwa inaongea kama kuna drainage au hakuna 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna mtu anataka kuona mitaro hapo za drainage ndio ajue kuwa kuna drainage 😂😂😂😂
Mimi nawashaangaaga sana wakenya wanavyosemaga eti wao ndio wapush wasaniii wetu views YouTube na na kwenye mitandao ya kijamii ilihali kiuhalisia mambo kama haya ndio yanadhihirisha 👆🏾👆🏾 ukweli sasa hapo watakumbia eti followers wengi wa tff ni wakenya
Sasa huyu nyang'au Nicxie mbona alikuwa anatamba hapa juzi juzi tu?😎Si wana uhuru wa kutoa maoni na democracy! Imekuwaje tena!
Huyu alimsema Rais wao ona kilichomkuta.
View: https://x.com/josephjoohny/status/1911100349173088569?s=46Video iliyofanya atekwe.
View: https://x.com/marykwamboks/status/1910922068406792419?s=46