So it’s only Simba and Yanga? What about other teams? Ama Tanzania ni Simba na Yanga Pekee? Nyinyi watu ni wajinga kweli kweli.Hivi vitu kwenu ndio vimeanza leo kumbe.? 🤣🤣🤣🤣 i know more than 20 groups zenye zinaenda everywhere Simba or Yanga go. Note. Everywhere ukumbuke teams zetu zinashiriki CAF champions league.
Asichokijua ni kwamba bongo tunao itamaduni wa matawi haswa kwa clubs zetu za simba na yanga, watu wanatoka kutoka katika kila mkoa kufika mkoa team ilipo ili waangalie ball. Basi na coasters kibao. Sasa sijui yey anatuonyesha washika bendera watatu ufukweni. 🤣🤣🤣🤣
Kuna vitu sisi tulisha set standard na kamwe hawatokaa wazifikie labda vizazi vyao vijavyo. 🤣🤣🤣.
Yaani anaringishia vitu ambazo hufanywa na Watanzania mara kwa mara. 😂😂😂Asichokijua ni kwamba bongo tunao itamaduni wa matawi haswa kwa clubs zetu za simba na yanga, watu wanatoka kutoka katika kila mkoa kufika mkoa team ilipo ili waangalie ball. Basi na coasters kibao. Sasa sijui yey anatuonyesha washika bendera watatu ufukweni. 🤣🤣🤣🤣
Kwani mtu amekuambia Kenya ndio hakuna branches wewe baboon?Asichokijua ni kwamba bongo tunao itamaduni wa matawi haswa kwa clubs zetu za simba na yanga, watu wanatoka kutoka katika kila mkoa kufika mkoa team ilipo ili waangalie ball. Basi na coasters kibao. Sasa sijui yey anatuonyesha washika bendera watatu ufukweni. 🤣🤣🤣🤣
Suala la mashabiki kusafiri bongo ni suala la zamani ni utaratibu wa vilabu, sio tu kwenye mpira ni hadi kwenye michezo ya ndondi (boxing) huku tulishaendelea kitaaambo kwenye mambo hayo. 🤣🤣🤣 kama wewe unayaona leo huko kwenu, basi you guys are too late in the game. 🤣🤣So it’s only Simba and Yanga? What about other teams? Ama Tanzania ni Simba na Yanga Pekee? Nyinyi watu ni wajinga kweli kweli.
We have 4/6 Stadiums 🤣🤣🤣Next time hata hio AFCON inafaa tufanye hosting bid pekee yetu, because tutakua the only country in East Africa with all the requirements.
CAF requirements
1. 2 stadiums with more than 40k capacity
2. 2 stadiums with more than 20k capacity
3. 2 stadiums with more than 15k capacity
Not like what we have in Tanzania. You are too late in the game. Chill bwana govinda. Tafuta hoja nyingine hii umefeli. 🤣🤣🤣Kwani mtu amekuambia Kenya ndio hakuna branches wewe baboon?
This is Shabana Fc, fans from Nairobi hired a matatu and went alk the way to Kisii. Even your Simba and Yanga Fans can’t emitate this.Suala la mashabiki kusafiri bongo ni suala la zamani ni utaratibu wa vilabu, sio tu kwenye mpira ni hadi kwenye michezo ya ndondi (boxing) huku tulishaendelea kitaaambo kwenye mambo hayo. 🤣🤣🤣 kama wewe unayaona leo huko kwenu, basi you guys are too late in the game. 🤣🤣
Mmetucopy and that’s why you can only talk of Yanga and Simba while Kenya almost all the teams does this.Not like what we have in Tanzania. You are too late in the game. Chill bwana govinda. Tafuta hoja nyingine hii umefeli. 🤣🤣🤣
Unajua hivi vitu vilishakua vya kawaida Tz hakuna mtu atashughulika kupost humu, wao kwasababu hatupost wanahisi havipo bongo. 🤣🤣🤣 wamenza leo mabo ambayo Tz inafanya miaka yote.
This is Shabana Fc, fans from Nairobi hired a matatu and went alk the way to Kisii. Even your Simba and Yanga Fans can’t emitate this.
Ebu tuonyeshe other Tanzanian teams apart from those sheeps.
View: https://x.com/MoraaTimes/status/1906246672277004403
Unaijua ndondo cup.? 🤣🤣🤣 achana na clubs kubwa Tz. Ndondo clubs is far better than what you are trying to tell me. This been our culture long time ago. Chill bwana govi. 🤣🤣🤣.Mmetucopy and that’s why you can only talk of Yanga and Simba while Kenya almost all the teams does this.
View: https://x.com/MoraaTimes/status/1906223552568693111
Umeshindwa kupata club kubwa Tanzania sasa unataka kunipeleka kwa celebrations za uchawi.Unaijua ndondo cup.? 🤣🤣🤣 achana na clubs kubwa Tz. Ndondo clubs is far better than what you are trying to tell me. This been our culture long time ago. Chill bwana govi. 🤣🤣🤣.
Hizo ni tamaduni za Tz za miaka ya zamani sana. Tuliza govi. 🤣🤣🤣 ndondo cup clubs in Tz them far better. Chill.Umeshindwa kupata club kubwa Tanzania sasa unataka kunipeleka kwa celebrations za uchawi.
Hakuna cha tamaduni. Si nimekuambia utuonyeshe things like this ukashindwa, Gir Mahia Fans 11yrs ago.Hizo ni tamaduni za Tz za miaka ya zamani sana. Tuliza govi. 🤣🤣🤣 ndondo cup clubs in Tz them far better. Chill.