Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyef nyef Talanta ni PPP ya Mchina.

By end of Construction GOK will complete all the payment for Talanta Stadium.

Nyef nyef Talanta ni PPP ya Mchina.

By end of Construction GOK will complete all the payment for Talanta Stadium.

View attachment 3299651
ww ni hayawani kweli kwani ikiwa PPP ndio thamani haijulikani ??😂😂😂

leta ushahidi kua mumefanya malipo kwa mkandarasi mm nafunga acc forever😂

kwan nairobi expreassway ilipokua inajengwa hamkujua inajengwa kwa bei gani??

wakat mwengine unalazmisha vitu havipo ndio maana huoni hata wenzako wakiku support kwasababu wanajua ukwel😂😂
 
mkapa stadium bado iko kwenye huge renovations, yani wakat mwengine ni kama munakua machizi vile 😂😂😂
Sasa Kuna tofauti gani kati ya Makwapa na Isiolo airport? Aren't both slated for renovation? Mbona Isiolo airport ikusumbue akili wakati Makwapa stadium hali ni mbaya hata zaidi?
 
Wewe myemen ulianza kwa kusema Talanta will never be built. Now that it's being built much to your agitation, sasa unatafuta visingizio. Desperation of the highest order.

Kama ni PPP, iweje serikali ishalipia 5% of the total cost hadi kufikia sasa?
 
Unaumia ukiwa wapi?

Huyo Myemen anasumbuka achana na yeye. Anadhani Kenya ni maskini kama Tanzania that can’t build their own Stadium. Just because Makwapa wa gifted by Mchina antaka Talanta pia ikuwe ya Mchina😂

Talanta ni PPP we ng'ombe, huwezi kulipa chini ya 5 percent cost of the whole construction done bila different terms of ownership, mchina hawezi kujenga 1 percent more kama hujalipa certificates za nyuma, anyways Kunyaland is bankrupted and broke kamradi ka stadium mpaka ppp

Huku hamtokaa mfike, cash zimetolewa hapa kama kule JNHPP tu

View: https://vm.tiktok.com/ZMBVLh9Ra/
 
Huyo Myemen anasumbuka achana na yeye. Anadhani Kenya ni maskini kama Tanzania that can’t build their own Stadium. Just because Makwapa wa gifted by Mchina antaka Talanta pia ikuwe ya Mchina😂

View attachment 3299810
Walipewa gift na mchina and they can't do simple things like maintenance. What a bunch of morons!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…