Anataka tujaze park na zile slums za uswazi ndio aridhike.Bongolala, that's Nairobi National Park in the background. Show us any residential area in Dar is slum with such density and highrises like South C above tuone.
Unajua huo uwanja ulikuwa na artificial turf?Unaelewa mzee kinachoongelewa?
Kwa hiyo pitch yetu imetengenezwa kwa ajili ya Jua tu, not All weather kiasi mvua ikinyesha inageuka Jaruba?
Pitch Drainage system shida maji kutuama na bado unafanya marekebisho ambayo hayaonekani zaidi ya Running Track toka 2023?
Mbona before walikua vizuri kuitunza? Iweje leo igeuke jaruba?
Hii mechi mvua ilinyesha that day ila angalia pitch ilivyo?
View: https://youtu.be/Zdm58rfdQ1I?si=BE3mIn0cEWQ3hDF9
Mzee don't look me with hatred ya Magufuli, look at the reality.
If kwako ni sawa tu basi hakuna shida.
Ila ni aibu kubwa kuwa broadcasted na hii pitch
View: https://youtu.be/v7TZTAl3ZSY?si=nW5uh9RL9jjcp3Do
Us ndio baba yao, msaada na ushauri mtoto hajakuwa mpaka leo ,aibu
Na hapo ni mashabiki wa timu moja tu. Sio eti mashabiki wa timu za wajaluo na sijui waluhya. Ukabila mpaka matakoni😁Ukizaliwa kunya automatically unakuwa hauna akili. 😂😂😂
Atizame hii video atuambie mara yao ya mwisho kupata full house kama hii ni lini.
View: https://youtu.be/v7TZTAl3ZSY?si=5ynZ6aeuQOruvP4U
Refa ameingiwa flying kick ya kifua. 🤣 🤣 🤣 Hakuna kitu kama Congo hapo. Bongoslum tunaijua vizuri.Mpumbavu ni nchi yako na wewe hapo.
Tanzania ya wapi hii?
Unachukua video za Congo unasema Tanzania!
Tanzania inakunyima amani.
View: https://youtu.be/zwzWS3-M_LQ?si=V4Lz0jhdm6iFnMSt
Acha ushamba wewe mkikuyu sio Tanzania hapoRefa ameingiwa flying kick ya kifua. 🤣 🤣 🤣 Hakuna kitu kama Congo hapo. Bongoslum tunaijua vizuri.
Sawa ni India.Acha ushamba wewe mkikuyu sio Tanzania hapo
Kondoo mwenzako kakutuma uje kumsaidia kutetea ujinga wake!Refa ameingiwa flying kick ya kifua. 🤣 🤣 🤣 Hakuna kitu kama Congo hapo. Bongoslum tunaijua vizuri.
Kondoo mwenzako kakutuma uje kumsaidia kutetea ujinga wake!
View: https://x.com/richardmuhima54/status/1722660760420331680?s=46
Huo ni mkoa upi wa Bongo.? 🤣🤣🤣 Heb tueleze we bwana GovindaRefa ameingiwa flying kick ya kifua. 🤣 🤣 🤣 Hakuna kitu kama Congo hapo. Bongoslum tunaijua vizuri.
Wanachezea kwa shamba, yani hata viti hakuna. 🤣 🤣Narudia tena, bila kufungulia mbwa makwapa haiwezi fika hata nusu. Je hivo viti vya mbele pia hamna vimengo'lewa😂😂View attachment 3299213
Hawa jamaa hata wakikosa njiti ya kiberiti kuwasha ndumu wanaweza kulianzisha! Blood f*cken sana!