Govinda umeathirika na ma slums ukajua hayo pia ni ma slums, hiyo ni smart city hairuhusu makazi holela kama Nairobi au Mombasa, nmekuvutia picha jionee bati nyekundu hizo 😘😘🥰🥰😍😍Hiki Nini View attachment 3294850
Wenyewe wanashangaa wakifika Tanzania, wanashangaa iweje tuna development kubwa hivi wakati tupo kimya na kiswahiliKunyan haitakiwi tuwashtue,tufanye maendeleo yetu kimya kimya,wao waendelee kujimwabify na magovi yao
MungikiWho ranked those judiciary buildings to come up with Tanzanian one being sixth?
Kwani Nairobi hakuna sehemu mpya? Since 2017 ni picha hizi hizi tu, since Dodoma pori mpaka sasa the most organised city in East and Central Africa bado mnapost vipicha hivi hivi .
Hakuna sehemu mpya na hata hujui hapo ni wapi.Kwani Nairobi hakuna sehemu mpya? Since 2017 ni picha hizi hizi tu, since Dodoma pori mpaka sasa the most organised city in East and Central Africa bado mnapost vipicha hivi hivi .
Jihad temple 🤣🤣🤣🤣Hiki Nini View attachment 3294850
Umia,hatuna namna ya kukusaidia🤣🤣Jihad temple 🤣🤣🤣🤣
Nawe pia hujui kitu inaitwa thermal expansion?🤣🤣🤣Sasa mchina akimaliza unataka awaachie kitu gani acha azichote akisepa wamuite tena kurekebisha aendelee another years
Nyie wakenya ni washamba sn sasa hiyo ni pesa ya kuja kulingia huku? No wonder wachezaji wenu wana maisha magumu sn.Shabana made 1.8m in todays match
View: https://x.com/Shabanafckenya/status/1908908214822781110?t=86goV56Sve_Ra5i5cIv_Pw&s=19
Wamevalisha building a very ugly umbrella. 🤣 🤣Jihad temple 🤣🤣🤣🤣
Unaumia kwa jengo moja tu.? 🤣🤣🤣Wamevalisha building a very ugly umbrella. 🤣 🤣
No club in Tanzania collects that money week in week out. Kama iko tuonyeshe, Yanga and Simba actually does less than half of that in normal games zenye sio derbies.Nyie wakenya ni washamba sn sasa hiyo ni pesa ya kuja kulingia huku? No wonder wachezaji wenu wana maisha magumu sn.
Bongolalas think that turning an office complex into a judiciary building is something to floss aboutHospital 🏥 building turned into judiciary, nothing about that building screams about law.
If only they honored their oaths...none of them here would still be alive!😂He’s mad coz he took an oath to funga account if Talanta is built. He’s still here therefore inamuuma sana ..😁
We lost that match but delivered a very good performance after leading at halftime. Fiji has always been HSBC Sevens series favourites and I knew it was going to be a tough game for us.Fiji are Olympic champions… Tough opponent.. but Let’s Go Shujaa!
Kule Tanganyika hauwezipata uwanja umefurika hivyo kama sio Yanga na Simba ndio zinachezaFootball is back in Kenya. Kinoru Stadium today pale Meru County.
View: https://x.com/Disembe/status/1908923097622708584
Em itoe hiyo kenya hapo katikati, hili litakataka umeachiwa urithi na mkoloni. 🤣🤣🤣. Unaleta mijumba ya karne ya kale kama reference yako, hizo courts unaona hapo zina resemble culture zao katika ujenzi? 🤣🤣🤣 👇🏾 sahii court zinajengwa kisasa. 👇🏾. Unajua wapi hiyo.?Bongolalas think that turning an office complex into a judiciary building is something to floss about
They need to see judiciary buildings from around the world and see how much they're out of touch with the rest of the world
US Judiciary buildingView attachment 3295247
UK Judiciary building
View attachment 3295249
South Africa Judiciary building
View attachment 3295251
Kenya judiciary building
View attachment 3295276
Germany Judiciary building
View attachment 3295254
Russia judiciary building
View attachment 3295256
Zimbabwe Judiciary building
View attachment 3295267
Egypt judiciary building
View attachment 3295268