Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haha sio hivyo tu, Kiingereza chenyewe broken, Kiswahili ndio mavi matupu kilugha pia shida.. Yani wanaelea elea tu..
Hawa jamaa hawajielewi kabisa, we ona hata hapa, wanachanganya changanya lugha wee... na kuvunjia vunjia humo humo, yaani sijui kwanini hawataki kutumia lugha moja ambayo wataimudu vizuri.
 
Madhara ya utumwa wa fikra huo...njia mbili zilimshinda fisi
 
Hawa jamaa hawajielewi kabisa, we ona hata hapa, wanachanganya changanya lugha wee... na kuvunjia vunjia humo humo, yaani sijui kwanini hawataki kutumia lugha moja ambayo wataimudu vizuri.
Ndo maana ukienda Kenya madem zao hawaishi Kukuganda.. Yani akijua unatok Tz tu shida ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…