Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pita hapo juu. 🤣🤣 hapa enyewe nasubiri Eid elfitri iishe niingie Mwanza. 🤣🤣 mimi ni msafiri malaya hii.
Sasa hujatoka nje nchi yako alafu unajibizana na waliotoka nchi zao na kutembelea nchi zengine? Unanionyesha town za Bongolala ati sasa hiyo ndio kutembea alafu uko humu unajibizana na Mkenya aliyetembea Tanzania ukisema hajui Tanzania wakati wewe hata mpakani Kenya hujafika?

Halafu ni town nne pekee unarudia rudia. Arusha, Darislum, Tanga na Moshi.
 
Kuto kutoka ni uamuzi wangu, wala hiyo si alama ya mafanikio kwamgu,

Busy travelling all around the country, nina shida gani wewe kima.? 🤣🤣🤣

Yani mpumbavu mwenzako adanganye watu vitu vya nchini mwangu nimuache.? We unafirwa nini.?

Mimi hii tanzania naijua kwa kuifika karibu kila kona yake, mpumbavu mwenzako kafika Arusha tu. Anatuelezea habari za tanzania as if tanzania inaishia Arusha.
 
Meanwhile the last kariakoo derby failed miserably
Kusema tu ukweli Kenyans live foitball than any country in East Africa. The way Nyayo is struggling to handle these matches I’m sure Kasarani and Talanta will be now prperly use during derbies because of their capacity.

Nyayo might even struggle to host a match of Shabana FC vs Gor or Leopard.

 
Town nne .? 🤣🤣 kanda ya ziwa yote hakuna mkoa sijakanyaga.

1.Nimeishi mwanza 3 good years.
2.Musoma nimefika
3.Geita nimefika 3 times
4.Bukuba nimefanya field 2020 (2 months)
5.Kahama (two weeks)
6.Simiyu.

7. morogoro nimefika 7 times kuna mara moja niliishi mwezi mzima.
8.Mbeya nimefika 2 times.
9. Iringa
10. Mtwara
11. Dodoma (kondoa nimekaa wiki mbili pale bicha)

Kwakifupi hii Tanzania, wala wanidanganye wakongwe tena walio safiri kweli kweli hivi karibuni . Sio mbwa yeyote kutoka kenya.
 
Kumbe nawe una Azam TV, A Tanzania broadcasting Company.
Mbona wadanganya kila siku. Ati no kenyans watch Azam TV?

Halafu hii Stadium mbona haina tofauti na Tabora Stadium huko Tabora
 
Kumbe nawe una Azam TV, A Tanzania broadcasting Company.
Mbona wadanganya kila siku. Ati no kenyans watch Azam TV?

Halafu hii Stadium mbona haina tofauti na Tabora Stadium huko Tabora
I told yiu nobody has Azam Decoder but we can watch Azam football. Again that’s not my screenshot you idiot.
 
Shida sio kununua ticket, shida uwanja umejaa. Yani ticket zimeuzwa zikaisha. Wacheni unafiki.
 
Hao wala mitura hawana akili,wanaringishia derby yao humu kama vile TZ derby yetu haipo top 5 ya derby zote afrika,imagine siku wakipata brt hao kima humu kutakavyojaa mate@
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…