Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kitu kinajengwa hapo, najua mnatamani kuona contruction ya buildings of o er 20 floors lakini hamna😂😂.

Nyumba zinawezwa off plan. Unajua hata what offplan is ?
 
Nilie kisa mko na nyumba ya 20 floor under cinstruction? Hata mombasa imewashinda iko na mingi kuliko Tanzania nzima😂
Ulianza kusema ni renda tu, ujenzi hauendelei lakini au.? 🤣🤣🤣🤣

Unadhani hata ukiwa na roho mbaya vipi utabadili chochote ground.? 🤣🤣🤣
 
Thjs is a very unfair trade balance between Kenya and Tanzania.

Kenyan investments in Tanzania $2B
Tanzania investment in Kenya $72M.

Ebu niambie hiyo ni ratio ya what to what?😂😂😂
Tanzanians are investing in their own country for Kenya, when logistics isn't a problem we will keep ruling your market direct from home, we can't export our employment and whole value chain process to Kunyaland, we're smart


View: https://x.com/peteklemenza/status/1824449386144727391?t=G4H7KELCWYlvVv3gYGYawg&s=19
 
Thjs is a very unfair trade balance between Kenya and Tanzania.

Kenyan investments in Tanzania $2B
Tanzania investment in Kenya $72M.

Ebu niambie hiyo ni ratio ya what to what?😂😂😂
Heb leta hizo invesments za kunya za $2 billion last year. 🤣🤣🤣 hichi kijamaa ni kipumbavu haswaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…