Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hana hela huyu kapuku. angekuwa na hea angekuwa ashatupostia mpaka picha za uvunguni kwake sasa hiyo hela hana na bado anaishi kwao tena kwenye slums. abishe kama anaproof
Huyo ni kichaa utasumbuananae milele.. 🤣🤣 tabia ya watu maskini huko kundurenda ndio hio.
 
Sasa wenye hela ni watu wa kuomba mapicha ama?
maskini kama wewe anakariri kuwa kila mtu anachotumiwa ameomba vipi kuhusu reort nikitumiwa nimeomba
Wewe ndio maskini hapa. Anyway I’m still waiting for that business permit that I asked you😂😂
hapa umeshindwa hata kuleta picha ya ofisi yako unadai business permit ok tanzania na nilipo hakuna business permit ila kuna permits mbalimbali , business permit ni kwa foreigners haya unajingine
 
Wewe maskini hakuna unachomiliki. Business person yupi hajui what business permit is?😂😂
 
Kwani zile nimekuonyesha ni nini? Ama unadhani ni za kuombwa vile huwa unafanya?
sio zako sababu umeshindwa kuverify ulipozitoa ni kama ulivyozoea kupost picha baada ya kuziedit na kudai ni zako. ili tuamini ni zak inatakiwa utuoneshe chanzo chako cha pesa ambacho wewe huna, sasa unawzaje kupat 75k wakati huna kazi huna biashara huna hata ofisi kudalalia watu. otherwise we ni mwizi kwahiyo rudisha hela uliyowaibia watu sio yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…