Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do you understand English? What does adding something to the investment mean?

Kumbe naongea na kichaa mwenye hata hawezi Elewa kingerezaπŸ˜‚πŸ˜‚
invest ni kuwekeza.
iko hvi kuna sehemuumepata pesa letsay hiyo 75k ukaend kununua bond ya 75k , sas sisi tunataka tujue umepapataje hio 75k per day kama huna biashara au kazi . kama unakazi pot mkataba wa kai kukuingizia 75k per day
 
Tanzania only have one company with a revenue above $1B. I’m sure hii ni yule mwarabu.

View attachment 3285792
Ila cha ajabu export value ya Tanzania hamtokaa muifikie hata mjitoe photocopies 200, sasa hayo makampuni ya kazi gani kama hakuna yanachoexport wala kuzuia over importation? πŸ˜‚ Hapo ndio unajua ni data za uongo
 
invest ni kuwekeza.
iko hvi kuna sehemuumepata pesa letsay hiyo 75k ukaend kununua bond ya 75k , sas sisi tunataka tujue umepapataje hio 75k per day kama huna biashara au kazi . kama unakazi pot mkataba wa kai kukuingizia 75k per day
Pole kwako. I invested 75k kwa MMF today. So ukipenda ulie, ukipenda ucheke.
 
Ila cha ajabu export value ya Tanzania hamtokaa muifikie hata mjitoe photocopies 200, sasa hayo makampuni ya kazi gani kama hakuna yanachoexport wala kuzuia over importation? πŸ˜‚ Hapo ndio unajua ni data za uongo
Export value ya Tanzania ya gold ya wazungu ama?
 
Hizi hasira zote ni kwa sababu nimekushinda ukidanganya?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
mimi nina evidence wewe huna.
mimi ina operational licence ila wewe huna.
mimi nina kituo cha kazi au ofisi ya kuniingizia kipato na nin uwe wakwenda nikapiga picha popote ila wewe huna.
 
Ila cha ajabu export value ya Tanzania hamtokaa muifikie hata mjitoe photocopies 200, sasa hayo makampuni ya kazi gani kama hakuna yanachoexport wala kuzuia over importation? πŸ˜‚ Hapo ndio unajua ni data za uongo
KQ imepata faida ila kuna ndege ke ziko grounded hazifanyi kai sababu hawana hela yakuzimantain
 
mimi nina evidence wewe huna.
mimi ina operational licence ila wewe huna.
mimi nina kituo cha kazi au ofisi ya kuniingizia kipato na nin uwe wakwenda nikapiga picha popote ila wewe huna.
Evidence ya nini? Unafaa uniulize evidence ya investing that amount, sio penye nimetowa pesa.
 
tunataka ulipozitoa kama ni slary basi utascreenshot mkataba unaoneshaunalipw 75k per month u kama unabiashara utasrcreenshot licence na picha za office yako zisizopungua tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…