babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,456
- 36,108
Imagine hata kusoma hii kipengele na kujiongeza wameshindwa “iliyosababishwa kufungwa kwa njia kwa miezi minne.” SGR gani imefungwa miezi minne! 😂😂😂Kawaingiza mkenge mpaka wanusa gundi wakadhani ni sgr, walivyo hawana akili wameshindwa hata kuelewa "......iliyosababisha kufungwa kwa njia kwa miezi minne"
Kwa kifupi faida inayotoka sgr ndiyo inaendesha shirika kwa sasa.
Hata kusoma siku hizi hujui?
KQ = Profit of $39.9M
View: https://x.com/KenyaAirways/status/1904777346038538736
Anytime Cancellation Ltd (ATCL) = Loss of $35M.
View: https://x.com/swahilitimes/status/1905194315350933899
when did kenya airways make profit?Remember has never made any profit since ianzishwe in 1977. That’s a good 48yrs with no profit.
KQ has never recorded a loss of $75M.View attachment 3284764
bado ka loss aliyopata ATCL haiwezi lingana na los KQ kwa mwaka uliopita , kwa point kuwa hasara inaendelea kupungua .
We just made profit in the concluded financial year. Ama bado unadhani we are on the same loss making wagons like Tanzania?when did kenya airways make profit?
CAG “Ni muhimu kuzingatia kuwa taarifa hii inahusu kipindi kinachoishia June 30,2024 kabla ya kuanza kutumika kwa treni za SGR kwahiyo mapato ya SGR hapa hayapo”tanzania financial year inaanzia tarehe 1/7/ year mpaka 30/6/ ya mwaka unaofuata. sgr oparation imeanza july ya 2024 kwa hiyo haiwezi kuwa katika report ya 2023/2024 kwa sababu mwaka wake wa fedha au report yake itakuwa kwenye report ya 2024/2025
View attachment 3284761
Kenyan SGR on the other hand continues to make more money.
View: https://x.com/XHNews/status/1905206801760460891
Kwa akili zako mbaya unakaribu kulinganisha mamapto ya Dar _Morogoro and Dar -Dodoma na a single route ya Nairobi - Mombasa pekee.View attachment 3284768
kwa hesabu za haraka tu ni kuwa kwa mwezi sgr kenya inaingiza usd 2,583,333 kwa mwezi ikiwa ndo mapato yaliongezeka kwa aslimia 41.
mpaka kufikia mwezi february sgr tanzania ilikuwa imeshafikisha bil 56 sawa na usd 21.2mil ikiwa kwa muda miezi nane tu sawa na usd 2,651,515 kwa mwezi kukiwa na utofauti wa 68,181 ka kila mwezi ukizidisha kwa miezi 12 ni sawa na usd 818,000. hapo ndo ina miezi nane toka ianze kufanya kazi
kumbe kuna njia mbili dar - dodoma na dar -morogoro.?Kwa akili zako mbaya unakaribu kulinganisha mamapto ya Dar _Morogoro and Dar -Dodoma na a single route ya Nairobi - Mombasa pekee.
Alafu mambo ya ATCL umeachana nayo?😂😂😂
Hasara Nation 🤣 🤣 🤣
Nobody goes to Athi River wewe nguruwe. From Athi River SGR station to Nairobi SGR station is just 30 bob by Matatu, sasa mbona mtu apande SGR?kumbe kuna njia mbili dar - dodoma na dar -morogoro.?
kumbe mombasa - nairobi na mombasa- athi river ni routes tofauti?
kuhusu KQ leta profit iliyowahi kumake toka kuanzishwa kwake
sasa si ndo maana nakuambia ni maskini kwa hiyo kutoka mombasa to athi river ni karibu kuna njia nyingine maana unasema dar dodoma na dar - moro ni routes mbili tofauti ikiwa na maana kuna njia nyingine ya reli.Nobody goes to Athi River wewe nguruwe. From Athi River SGR station to Nairobi SGR station is just 30 bob by Matatu, sasa mbona mtu apande SGR?😂😂😂
Wewe ushaiona Train yenye imekuwa set for Athi River? Wewe ni mbwa sana, do you even know the meaning of routes? Different routes doesn’t have to be different directions to make them two or more.sasa si ndo maana nakuambia ni maskini kwa hiyo kutoka mombasa to athi river ni karibu kuna njia nyingine maana unasema dar dodoma na dar - moro ni routes mbili tofauti ikiwa na maana kuna njia nyingine ya reli.
Unajua kama Dar-Moro- Dom ni route moja.?Kwa akili zako mbaya unakaribu kulinganisha mamapto ya Dar _Morogoro and Dar -Dodoma na a single route ya Nairobi - Mombasa pekee.
Alafu mambo ya ATCL umeachana nayo?😂😂😂
Wewe baboon hujui maana ya routes tulia.Unajua kama Dar-Moro- Dom ni route moja.?
33,500 capacity with track ?….. Definitely Talanta is the king of the region ( Home of the AFCON opening and closing matches )